Utacheka sana

Utacheka sana

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
14,694
Reaction score
7,912
Ni mambo ya kuchekesha sana,ukikumbuka mapenzi enzi za skul,miaka ile,ati tuko skul twaitana wife na husband,sijui hata huyo 'wife' sasa kaolewa na nani na yuko wapi,tulipendana,ukimkosa siku moja tu,huna raha,ilikuwa raha,uko wapi my wife'.Wakumbuka wakati teacher hakuja class,raha kwenda mbele,ukija ukikaa kwenye kiti changu na daftari,ati nakufundisha math,duh sitakusahau my x 'wife'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom