Utabiri wangu: Yanga watashinda kwa mgoli 2 dhidi ya CR Belouizdad na yote yatafungwa na Mzize

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,121
27,128
Huo ndio utabiri wangu.

Yanga watashinda kwa magoli mawili kwa sifuri.

Magoli yote mawili yatafungwa na Walid Mzize na yatafungwa kipindi cha kwanza.

Watu mlio karibu na benchi la ufundi la Yanga fanyieni kazi taarifa hii.

Endapo haitakuwa hivi basi nitajitoa jamii forums moja kwa moja na sintopost wala kucomment chochote hapa jf.

I put one hundred percent in everything that I have said above👆

Update:

1. Mzize akifunga magoli yote mawili kipindi cha pili nitajitoa kwa sababu nimesema Maize atafunga magoli yote mawili kipindi cha kwanza

2. Kama Mzize atafunga goli moja kipindi cha kwanza na mpya kipindi cha pili nitajitoa JF moja moja

3. Kama Yanga watashinda magoli mawili ila ya kafungwa na wachezaji wengine nitajitoa pia.

4. Kama Yanga watafungwa magoli matatu kwa mawili lakini magoli mawili yote ya Yanga yakafungwa na Mzize kipindi cha kwanza still bado nitajitoa JF hata kama half time itamalizika kwa Yanga kuongoza magoli mawili kwa sifuri na yote yawe yamefungwa na Mzize.

# my love moves in the direction of my words.
 
Tunakufahamu mzee wa macho ya mbali. Binafsi, natambua u mtu wa namna gani spiritually toka uandike suala la Moloko na kubeba mafanikio ya Yanga na kisinda kutokuwa na lolote pale jangwani so aachwe na ikawa hivyo.
Yeah sure mkuu.

And now umenikumbusha. Wasi mtoe Musonda. Ana kitu ndani yake. Moloko wasimtoe pia. Bado ana kitu ndani yake...

Kama haitotokea kama nilivyo sema hapo juu nitajitoa jf moja kwa moja. Yani hata kama magoli atafunga moja kipindi cha kwanza moja kipindi cha pili nitajitoa pia.
 
Huo ndio utabiri wangu.

Yanga watashinda kwa magoli mawili kwa sifuri.

Magoli yote mawili yatafungwa na Walid Mzize na yatafungwa kipindi cha kwanza.

Watu mlio karibu na benchi la ufundi la Yanga fanyieni kazi taarifa hii.

Endapo haitakuwa hivi basi nitajitoa jamii forums moja kwa moja na sintopost wala kucomment chochote hapa jf.

I put one hundred percent in everything that I have said above👆
Naunga mkono hoja
 
Kama kucheka imo naomba kwanza ncheke. Hahaha hahaha mnafikiri shirikisho hii
Subiri kwanza mechi lishe mkuu uzuri nimesha sema ikitokea tofauti hata kidogo tu hata kama Yanga watashinda na magoli yatafungwa na watu wengine nitajitoa jf.

Kama Mzize atafunga magoli yote mawili kipindi cha pili nitajitoa.

Kama atafunga goli moja kipindi cha kwanza na goli moja kipindi cha pili nitajitoa jf.
 
Huo ndio utabiri wangu.

Yanga watashinda kwa magoli mawili kwa sifuri.

Magoli yote mawili yatafungwa na Walid Mzize na yatafungwa kipindi cha kwanza.

Watu mlio karibu na benchi la ufundi la Yanga fanyieni kazi taarifa hii.

Endapo haitakuwa hivi basi nitajitoa jamii forums moja kwa moja na sintopost wala kucomment chochote hapa jf.

I put one hundred percent in everything that I have said above👆
Mkuu nitabirie na mimi
 
Uwepo jf usiwepo hauna faida yoyote,.. hizo condition unazozitoa hazina impact yoyote
 
Mzize ni mzuri akitokea sub, akianza huwa lazima aoge matusi ya mashabiki na lawama kwa mambo anayoyafanya uwanjani. Ila akiingia kama sub, hakuangushi, anafuata vizuri sana maelekezo na kuisaidia timu iondoke na ushindi. Mzize na Moloko ni super sub za Gamond kwa sasa
 
Mzize ni mzuri akitokea sub, akianza huwa lazima aoge matusi ya mashabiki na lawama kwa mambo anayoyafanya uwanjani. Ila akiingia kama sub, hakuangushi, anafuata vizuri sana maelekezo na kuisaidia timu iondoke na ushindi.
Mimi siangalii hizo mkuu
 
Huo ndio utabiri wangu.

Yanga watashinda kwa magoli mawili kwa sifuri.

Magoli yote mawili yatafungwa na Walid Mzize na yatafungwa kipindi cha kwanza.

Watu mlio karibu na benchi la ufundi la Yanga fanyieni kazi taarifa hii.

Endapo haitakuwa hivi basi nitajitoa jamii forums moja kwa moja na sintopost wala kucomment chochote hapa jf.

I put one hundred percent in everything that I have said above

Update:

1. Mzize akifunga magoli yote mawili kipindi cha pili nitajitoa kwa sababu nimesema Maize atafunga magoli yote mawili kipindi cha kwanza

2. Kama Mzize atafunga goli moja kipindi cha kwanza na mpya kipindi cha pili nitajitoa JF moja moja

3. Kama Yanga watashinda magoli mawili ila ya kafungwa na wachezaji wengine nitajitoa pia.

4. Kama Yanga watafungwa magoli matatu kwa mawili lakini magoli mawili yote ya Yanga yakafungwa na Mzize kipindi cha kwanza still bado nitajitoa JF hata kama half time itamalizika kwa Yanga kuongoza magoli mawili kwa sifuri na yote yawe yamefungwa na Mzize.

# my love moves in the direction of my words.
Wewe ni Mtu muhimu JF lakini, kiapo kama hiki ni kikubwa Sana tusije tukakukosa.
 
Yeah sure mkuu.

And now umenikumbusha. Wasi mtoe Musonda. Ana kitu ndani yake. Moloko wasimtoe pia. Bado ana kitu ndani yake...

Kama haitotokea kama nilivyo sema hapo juu nitajitoa jf moja kwa moja. Yani hata kama magoli atafunga moja kipindi cha kwanza moja kipindi cha pili nitajitoa pia.
Toa ahadi ya kueleweka kujitoa jf sio ahadi watu wengi wana multiple I'd unatoa ahadi za chekechea.
 
Huo ndio utabiri wangu.

Yanga watashinda kwa magoli mawili kwa sifuri.

Magoli yote mawili yatafungwa na Walid Mzize na yatafungwa kipindi cha kwanza.

Watu mlio karibu na benchi la ufundi la Yanga fanyieni kazi taarifa hii.

Endapo haitakuwa hivi basi nitajitoa jamii forums moja kwa moja na sintopost wala kucomment chochote hapa jf.

I put one hundred percent in everything that I have said above👆

Update:

1. Mzize akifunga magoli yote mawili kipindi cha pili nitajitoa kwa sababu nimesema Maize atafunga magoli yote mawili kipindi cha kwanza

2. Kama Mzize atafunga goli moja kipindi cha kwanza na mpya kipindi cha pili nitajitoa JF moja moja

3. Kama Yanga watashinda magoli mawili ila ya kafungwa na wachezaji wengine nitajitoa pia.

4. Kama Yanga watafungwa magoli matatu kwa mawili lakini magoli mawili yote ya Yanga yakafungwa na Mzize kipindi cha kwanza still bado nitajitoa JF hata kama half time itamalizika kwa Yanga kuongoza magoli mawili kwa sifuri na yote yawe yamefungwa na Mzize.

# my love moves in the direction of my words.
kumekucha...
 
Subiri kwanza mechi lishe mkuu uzuri nimesha sema ikitokea tofauti hata kidogo tu hata kama Yanga watashinda na magoli yatafungwa na watu wengine nitajitoa jf.

Kama Mzize atafunga magoli yote mawili kipindi cha pili nitajitoa.

Kama atafunga goli moja kipindi cha kwanza na goli moja kipindi cha pili nitajitoa jf.
Nimeskrinshot
Ss mm nabet ela ya tofar
Ore wako igome
Yaan ntakua adui yk humu popote ulipo nipo kwa nyuma
 
Back
Top Bottom