Alafu apo Kwa mkapa typing error sikutaka kuandika ivyo ikajileta iyo,pia Wana Simba tuache makasiriko huo ndo UKWELI,kama unatafuta pesa kwenye betting bas fata utabiri wangu upige kibunda chako, kwenye kusaka chapaa tunaweka utimu pemben kama utabiri ukikataa timu husika kushinda bas tuna beti kutokana na utabiri na si kiushabiki mana pale tunaweka pesa sio kokoto