Utabiri wangu umetimia Hersi kugombea ubunge mwana FA ajipange hapo kwenye uwaziri

Utabiri wangu umetimia Hersi kugombea ubunge mwana FA ajipange hapo kwenye uwaziri

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
5,139
Reaction score
12,882
Wakuu mpo!

Mwaka 2024 nilitabiri Hersi atagombea ubunge mwaka 2025

Leo nmeona taarifa kachukua fomu.

Niwaambie tu wajumbe kuwa hata msipo mpigia kura atapita sababu huyo ni asset kwa CCM namba moja anahitajika kipindi hiki kuliko mtu yeyote yeye na mwamposa wanahitajika kuliko mtu yeyote


Na atakuwa waziri wa michezo mtake msitake


Nawasilisha
 
Back
Top Bottom