Utabiri wangu mechi za Simba na Yanga wiki hii

Simba 2 Al Ahly 0
Yanga 1 Mamelod 0

Marudio:

Al Ahly 1 Simba 0
Mamelod 1 Yanga 1

Wote wanaingia nusu fainali.
 
Simba anakufa Jamaa wamekuja na mapipa yao km kawa kwenye pipa 1 wameweka uwanja wao wanachezea wapi na muda gani swali linarudi kwako

Na walipotua tu Dar vua kubwa likanyesha huku kwingine Jua linawaka wale wahenga wa Milima ya Upogoro wanasema Simba anazaa sasa anazaa watoto wangapi Mimi sijui
Ndo mara yako ya kwanza kuona wamekuja na mapipa??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom