Utabiri wangu kuhusu Mbowe

Khaa!! Khaa!! Mbowe mwanasiasa au mpiga dili? Ajiandae kujibu mashtaka ya kuua upinzani bongo.
 

Ya just like a fool, a fool completly
 
Hao wenye shule kubwa wamelifikisha wapi taifa?

Tuseme ukweli mkuu....mimi siyo mwana UKAWA ila napenda ukweli. Naam hata kama jamaa hana elimu, au hata kama CHADEMA /UKAWA itashindwa...bado hakuna mwanasiasa yeyote aliyewahi kuleta upinzani na kutikisa chama tawala CCM kama Huyu jamaa. Na tuseme ukweli kuwa bila upinzani tusingejua ufidadi na wizi Wa Mali za umma kama ilivyo sasa hivi. Na bila shaka hata hapa tulipofika pamoja na kwamba hawajawahi kupata nafasi ya kuongoza nchi hii, badi wameleta challenge Kubwa sana kwa waba Ccm na pia general awareness ya public about political issues wamecgangia sana. Kuna jamaa aliwahi kuweka thread moja humu , akasema jamaa(Mbowe) no mfanyabiashara, na kwenue biashara wanasema; the higher the risk the higher the return, kwa hiyo jamaa amatake risk...na ni kweli ameiyikisa CCM , but kuhusu Ushindi tusubiri hiyo oct. 25. Time will tell. Katika siasa za tz atakumbukwa.
 
tanzanian , ubongo una shida mtu anashakia chama flan bila sababu za msingi, unakuta msomi anakwambia bora agombee yoyote lakini kwakuwa ni wa chama changu tlp, ccm, cuf, cdm, nccr ntampa tu kweli?? kwa nini tusiache kufwata upepo kama bendera tupime mgombea mmojammoja kwa sera na mikakati ndipo tuamue yupi anafaa??

nimejaribu kuangalia sera za wagimbea 3 ccm, ukawa&act nikazichambua , ila wanasema mipango yao ya baada yakuchaguliwa lakini hawaelezi ni kwa namna gani watayafanikisha hayo mambo.

mf: elimu bure waeleze vizur vyanzo watavyopatia fedha
viwanda, waeleze mbinu gani watatumia kuviibua ili tuone kweli inaawezekana,

khaaaa hopeless
 
Kwa tathimini yangu chama cha CDM baada ya uchaguz kitakuwa kimepata nguvu kubwa hata wasipochukua dola.
1.Lowassa asiposhinda wabunge wengi sana watapita kutokana influence yake, chama kitaendelea kuwa na nguvu kutokana na idadi kubwa ya wabunge.
2.Hakukuwa na wakt mwingine wowote ambapo ungeweza kipunguza nguvu CCM tofauti na huu wakt ilipokuwa imegawika Kwa kumwacha mgombea maarufu anayesapotiwa na watu wengi nje na ndani ya chama.

Binafsi, naungana na wote wanaompongeza Mbowe kama gwiji na ktk this game of politics.
Mbowe,salute
 

Mbowe is a scientific politician
 
"CCM mkitaka #KURA yangu semeni ukweli nani anahusika na hizi tuhuma? na wahusika wamechukuliwa hatua gani?
-Katiba pendekezwa nani aliyaondoa maoni ya wananchi ambayo yalikuwepo kwenye rasimu ya Warioba?
-Mabehewa feki
-Kiwira
-Richmond
-Epa
-Escrow
-Epa
-Dowans
-IPTL
-NET GROUP SOLUTIONS
-Usafirishaji wa wanyama nje ya nchi mfano twiga alipandaje ndege?
-Biashara ya pembe za ndovu
-Biashara ya madawa ya kulevya
-Meremeta
-Mikataba ya gesi na mafuta
-Uuzwaji wa nyumba za serikali
Nahitaji majibu ya hayo maswali siyo porojo.
 
Umewahisha hii post yako subiri lowasa akose urais huu mwezi wa kumi, halfu uone hicho kitimutimu kitacho zuka chadema. Kushindwa kwa lowasa ndio mwisho wa mbowe chadema, shika sana haya maneno yangu.
 
mbowe ni mtu anayetumia nguvu sana kufanya mambo angalia anavyo payuka akiongea, kumleta lowasa na kuandaa mkutano mkuu wa kumpitisha kuwa mgombea alipata kizunguzungu na kukimbizwa muhimbili.

Chama kinaongozwa kwa akili si kutumia nguvu, na nguvu zitakuwa hazina nafasi baada ya lowasa kushindwa kuupata urais.
 
Endeleeni kumjaza Ujinga. Muda si mrefu atabaki peke yake na Jamaa wa Lowassa kwenye hiyo CDM. Amewafanya wanasiasa waliokuwa wanachipukia Kama Mdee,Mnyika n.k kuwa wanyonge kama vifaranga wasio na mama yao. Sasa hata kujadili kwa uhuru kuhusu uchaguzi wanaona aibu. Maana kura wanazitaka, ila kulitetea fisadi hadharani wanaona soo.
 
Haina tija wa haitakiwi kutunzwa. Tuliambiwa cdn haifiki2010 itakua imesambaratika ikatoboza tena kwa kishindo. Hawakuchoka wakaendelea na wimbo wao haifiki2012 ikatoboza tena kwa nguvu kubwa sasa naona mnaendelea na nyimbo zile zile.

Kwa taarifa yako tu ni kwamba Slaa ndiyo aliyekuwa mwokozi wa CDM na sasa hayupo ujue hakuna CDM pia. Time will tell.
 
Kwa taarifa yako tu ni kwamba Slaa ndiyo aliyekuwa mwokozi wa CDM na sasa hayupo ujue hakuna CDM pia. Time will tell.

hawa watu wanashangaza sana wanatumia miguvu kufikiri hawatumii akili. huko nyuma hatujawahi sikia mwenyekiti kupata kihindihindi. kuondoka slaa tu kalazwa muhimbili. wana macho, masikio hawaoni hawasikii.
 
Chadema ni chama cha upinzani kilichoanzishwa na Edwin Mtei mkwe wake na Freeman Mbowe.
Freeman Mbowe ni mfanyabiashara kama baba yake,siasa kaingilia tu kama mtaji.Chama kina ilani na kanuni kama familia toka kwa mzee Mtei,atakaepinga aondoke.DR Slaa alitumika kama mtaji na sasa hawamuhitaji.
kwenye pesa mzee Mtei atachukua,Mbowe atachukua chake na habari ya chama ikafie mbele.
tunataka upinzani,lakini upinzani huu wa wafia njaa si sahihi.na sasa wamemsogeza mfia njaa mwenzao asiyependa umaskini kutuuza.na nyie mburula mnaoshabikia mtakua wa kwanza kupelekwa mnadani.
 
Labda kwa kuuza chadema kwa 10bn kweli mchagga pale alikuwa fasta
 

Wewe kweli lofa
 
Mh. Mbowe amekwisha jiwekea nafasi yake katika historia ya siasa. Mwenzangu Dr. Slaa amejivunjia heshima yake. Hata kama UKAWA wapigwe bao la mkono, wananchi wote wanajua nani mkweli na nani pandikiza. watu sio wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…