Utabiri wangu kuhusu Mbowe

Utabiri wangu kuhusu Mbowe

Mh. Mbowe amekwisha jiwekea nafasi yake katika historia ya siasa. Mwenzangu Dr. Slaa amejivunjia heshima yake. Hata kama UKAWA wapigwe bao la mkono, wananchi wote wanajua nani mkweli na nani pandikiza. watu sio wajinga.

wananchi wote una maana ya watanzania wote 45millions? ama wale tu wananaowaunga mkono UKAWA?
 
mwenyekiti ajae chadema ni lowasa,,,washinde ama wasishinde uchaguzi....mbowe itabidi arudi kusimamia ukumbi wake wa disco....

katibu mkuu atakuwa hamis mgeja....
 
Mbowe ataondoka kwa aibu na kashifa mbaya. Sema watu wako kimya kwa sababu wako kwenye campaign. Ngoja washindwe utakuja kuniambia. Huwezi kuuza chama bila kuangalia risks zake namna hiyo. Ni mtu mwenye shule ndogo tu anayeweza kuchukua such risks. Tunza hii message utasoma siku zijazo na utanikumbuka.
Kumbe
 
Katika wanasiasa watakaokuwa na historia iliyotukuka katika siasa za upinzani ni Mh.Freeman Alkael Mbowe. Mbowe ni zaidi ya kiongozi, anabeba nyanja zote za uongozi maono(vision),ushawishi(influence) na hatima(destiny). Mimi naamini Mbowe anajenga chama kama taasisi, ipo siku Mbowe ataiacha CHADEMA katika mikono salama na hapo ndipo utakuwa mwisho wake wa siasa. Ni mwanasiasa atakayeondoka CHADEMA bila bughudha kama akina Dr.Slaa, Zitto, Arfi said, Dr.Kaborou nk. Na Mbowe atakuwa na historia ya kutukuka ndani ya nchi kupita mwanasiasa yoyote wa upinzani.
Swali la kujiuliza, hivi Mbowe asingekuwa mwenyekiti chama hiki kingekuwa kimesambaratika mapema sana.
Mbowe ni Jabali la Kisiasa la Africa
 
Hawa Moderators wa jamii forums ni watu wa ajabu sana. Wametoa button ya "Like" then wameweka "Thanks" which it doesn't make any sense at all. Pia Moderators wa jamii forums siwaelewi. Kuna siku I was the first one to put a comment on a new thread. I wrote "Nimewahi seat ya m bele " wakanipiga banned for 3 days which is bullshit!!!!! That was not an insult. Maajabu...maajabu Moderators wa jamii forums ni vibaraka wa Ccm period!
pole mkuu , vita havina macho
 
Back
Top Bottom