Utabiri wangu kuhusu Mbowe

Utabiri wangu kuhusu Mbowe

Ashindwe Nani? Sisi Hatuwazi Kushindwa Tushindwe Nanani Wakati Sisi Ndio Wenye Nchi Na Tumeamua Kuichukua Nchi Yetu? Tahazali Msituibie Kura Zetu

Kichaa by definition ni mtu anayeamini mambo kinyume na watu wengine wa kawaida. Mfano kutembea uchi, kuamini Lowassa atashinda, kuamini kuna wezi wa kura n.k
 
Nakuambia bda ya uchaguzi ndyo utaona moto wa cdm utakavyowaka.luwasa atakuwa ameenda zake kupunzika na siasa bac tna.watu hawatakuwa na imani na mbowe kwakuiuza chama.mgogoro ndani ya chama utakuwa mkubwa kuzidi ule wa nccr mageuzi ya kina mrema.huo ndyo utakuwa mwisho wa cdm na mwanzo wa chama kipya cha siasa kuzaliwa nakuchukua power ya cdm.
 
Katika wanasiasa watakaokuwa na historia iliyotukuka ktk siasa za upinzani ni Mh.Freeman Alkael Mbowe. Mbowe ni zaidi ya kiongozi,anabeba nyanja zote za uongozi maono(vision),ushawishi(influence) na hatima(destiny). Mimi naamini Mbowe anajenga chama kama taasisi,ipo siku Mbowe ataiacha CHADEMA katika mikono salama na hapo ndipo utakuwa mwisho wake wa siasa. Ni mwanasiasa atakayeondoka CHADEMA bila bughudha kama akina Dr.Slaa,Zitto,Arfi said,Dr.Kaborou nk. Na Mbowe atakuwa na historia ya kutukuka ndani ya nchi kupita mwanasiasa yoyote wa upinzani.
Swali la kujiuliza,hivi Mbowe asingekuwa m/kiti chama hiki kingekuwa kimesambaratika mapema sana.

Kweni yeye ni Mungu?mzungumze mtu kwa mazuri tu lakini siyo kusema bila kuwepo yeye chama kingesambaratika,kweni chama hakina watu wengine wenye kuweza?ikiwa hvyo basi hakiwezi kuongoza inchi
 
Mbowe ataondoka kwa aibu na kashifa mbaya. Sema watu wako kimya kwa sababu wako kwenye campaign. Ngoja washindwe utakuja kuniambia. Huwezi kuuza chama bila kuangalia risks zake namna hiyo. Ni mtu mwenye shule ndogo tu anayeweza kuchukua such risks. Tunza hii message utasoma siku zijazo na utanikumbuka.

Watu wanamshambulia Mbowe kuwa ameuza chama na kushindwa kuona kitu kikubwa sana ambacho amesaidia ku engineer. Ujio wa Lowassa kule Ukawa na willingness yake kuwa mgombea umesaidia kuepusha mgogoro mkubwa sana ambao ungeweza hata kusambaratisha Ukawa na kuwanyima chance yeyote ya ushindi. Tunasema Dr. Slaa angekuwa mgombea, why? Kwani hao vuongozi wengine wa Ukawa hawana right ya kugombea na wao? Umeshajiuliza position ya Lipumba kuhusu Dr. Slaa kuwa mgombea ilikuwa ipi? What about Mbatia? Wote hawa walikuwa na right ya kupata nomination. Pia unashindwa kuelewa kuwa kulikuwa na debates kali sana kuhusu hilo ila watu kama wewe mlikuwa mnasema Ukawa wanajivutavuta wanapitwa na wenzao. Siasa ni strategies na uwezo wa kutime opportunities na Mbowe ni expert kwenye hiyo. Historia lazima imkumbuke kwa hilo. Lowassa alipatikana wakati Ukawa wakiwa kwenye ukingo wa kusambaratika na walichofanya kikubwa sana akina Mbowe na Mbatia ni kumshawishi akubali masharti ya Ukawa na asimame kwa principle za maadui zake wa zamani, against his own party. Kwa kiongozi wa juu wa CCM mwenye msimamo kama Lowassa, this was not a small feat. Give these men their due respect!!
 
Nimepita maeneo fulani ya tabata nimekuta watoto umri miaka 7 mpaka 15 wanacheza mpira, timu moja inaitwa magufuli na nyingine Lowasa. Magufuli alikuwa kafungwa 2. Mmoja akawa analalamika mwenzie akamjibu si umechagua mwenyewe kuwa magufuli. Hawa watoto wamenifurahisha sana kwa ubunifu wao!
Na mimi juzi nilipita kijiji kimoja huku usukumani, nikaona ng'ombe mafahari wawili wanapigana, mmoja anaitwa Lowasa na mwingine Magufuli,.. Magufuli alikimbia ulingo.
 
Wiki mbili zilizopita nilikuta mtoto wa darasa la 2 anaimba hivi, MUNGU IBARIKI CHADEMA CCM NDO WAMETUFANYA MASKINI. nilishangaa na nikajiuliza huyu mototo amefundishwa na wazazi wake au kajitungia ? sikupata jibu, ila nilifurahi sana.
 
hamumfahau mbowe nyie

yule ni natural/ born Genius
 
Tuache mambo ya mbowe. Tusake ushindi kwa udi na uvumba. Tuzuie gori la mkono.
 
Mbowe ataondoka kwa aibu na kashifa mbaya. Sema watu wako kimya kwa sababu wako kwenye campaign. Ngoja washindwe utakuja kuniambia. Huwezi kuuza chama bila kuangalia risks zake namna hiyo. Ni mtu mwenye shule ndogo tu anayeweza kuchukua such risks. Tunza hii message utasoma siku zijazo na utanikumbuka.

Kuuza kwa nani??
 
Nakuambia bda ya uchaguzi ndyo utaona moto wa cdm utakavyowaka.luwasa atakuwa ameenda zake kupunzika na siasa bac tna.watu hawatakuwa na imani na mbowe kwakuiuza chama.mgogoro ndani ya chama utakuwa mkubwa kuzidi ule wa nccr mageuzi ya kina mrema.huo ndyo utakuwa mwisho wa cdm na mwanzo wa chama kipya cha siasa kuzaliwa nakuchukua power ya cdm.
hakitatokea hicho...ni next two months
 
Katika wanasiasa watakaokuwa na historia iliyotukuka ktk siasa za upinzani ni Mh.Freeman Alkael Mbowe. Mbowe ni zaidi ya kiongozi,anabeba nyanja zote za uongozi maono(vision),ushawishi(influence) na hatima(destiny). Mimi naamini Mbowe anajenga chama kama taasisi,ipo siku Mbowe ataiacha CHADEMA katika mikono salama na hapo ndipo utakuwa mwisho wake wa siasa. Ni mwanasiasa atakayeondoka CHADEMA bila bughudha kama akina Dr.Slaa,Zitto,Arfi said,Dr.Kaborou nk. Na Mbowe atakuwa na historia ya kutukuka ndani ya nchi kupita mwanasiasa yoyote wa upinzani.
Swali la kujiuliza,hivi Mbowe asingekuwa m/kiti chama hiki kingekuwa kimesambaratika mapema sana.
wewe ndio haunazo. mtu aliyojenga cdm ni slaa na ametoka imeanza kusambaratika. mbowe ni mfanyabiashara tu na amepiga dili kubwa ya mwisho kwa kuuza chadema.
 
wengi watatabiri mabaya kuhusu Mbowe lakini hatima yake anaejua ni Mungu tu kikubwa akaze buti katika Siasa asije kuwa kigeugeu kama hao Wengine:A S 41:
 
Katika wanasiasa watakaokuwa na historia iliyotukuka ktk siasa za upinzani ni Mh.Freeman Alkael Mbowe. Mbowe ni zaidi ya kiongozi,anabeba nyanja zote za uongozi maono(vision),ushawishi(influence) na hatima(destiny). Mimi naamini Mbowe anajenga chama kama taasisi,ipo siku Mbowe ataiacha CHADEMA katika mikono salama na hapo ndipo utakuwa mwisho wake wa siasa. Ni mwanasiasa atakayeondoka CHADEMA bila bughudha kama akina Dr.Slaa,Zitto,Arfi said,Dr.Kaborou nk. Na Mbowe atakuwa na historia ya kutukuka ndani ya nchi kupita mwanasiasa yoyote wa upinzani.
Swali la kujiuliza,hivi Mbowe asingekuwa m/kiti chama hiki kingekuwa kimesambaratika mapema sana.

Kaka umeongea point.Hapa yako majitu yameitwa choo na slaa na tena yakaambiwa mavi kudogo yamepakuliwa yakapelekwa chumbani ambako pengine kuna practical ilienda kufanyika.Haya jielewi.Choo hakitakaa kifanyiwe mpango wa kuifadhia vitu safi milele.kile ni najisi kazi yake ni kuhifadhi uchofu.Lakini chumbani usafi unaweza fanyika.Watu wamejitoa ufahamu kisa Lowassa.
 
Ww hujitambui mtu anawezeje nunua chama na wanachama nchi nzima wakamkubali?
 
Watu wanamshambulia Mbowe kuwa ameuza chama na kushindwa kuona kitu kikubwa sana ambacho amesaidia ku engineer. Ujio wa Lowassa kule Ukawa na willingness yake kuwa mgombea umesaidia kuepusha mgogoro mkubwa sana ambao ungeweza hata kusambaratisha Ukawa na kuwanyima chance yeyote ya ushindi. Tunasema Dr. Slaa angekuwa mgombea, why? Kwani hao vuongozi wengine wa Ukawa hawana right ya kugombea na wao? Umeshajiuliza position ya Lipumba kuhusu Dr. Slaa kuwa mgombea ilikuwa ipi? What about Mbatia? Wote hawa walikuwa na right ya kupata nomination. Pia unashindwa kuelewa kuwa kulikuwa na debates kali sana kuhusu hilo ila watu kama wewe mlikuwa mnasema Ukawa wanajivutavuta wanapitwa na wenzao. Siasa ni strategies na uwezo wa kutime opportunities na Mbowe ni expert kwenye hiyo. Historia lazima imkumbuke kwa hilo. Lowassa alipatikana wakati Ukawa wakiwa kwenye ukingo wa kusambaratika na walichofanya kikubwa sana akina Mbowe na Mbatia ni kumshawishi akubali masharti ya Ukawa na asimame kwa principle za maadui zake wa zamani, against his own party. Kwa kiongozi wa juu wa CCM mwenye msimamo kama Lowassa, this was not a small feat. Give these men their due respect!!

Strategies are measured against results. Let us wait for results and you will rethink and understand what we are telling you now. We are in future already and you still think about today that is why you donnot understand us.
 
Katika wanasiasa watakaokuwa na historia iliyotukuka ktk siasa za upinzani ni Mh.Freeman Alkael Mbowe. Mbowe ni zaidi ya kiongozi,anabeba nyanja zote za uongozi maono(vision),ushawishi(influence) na hatima(destiny). Mimi naamini Mbowe anajenga chama kama taasisi,ipo siku Mbowe ataiacha CHADEMA katika mikono salama na hapo ndipo utakuwa mwisho wake wa siasa. Ni mwanasiasa atakayeondoka CHADEMA bila bughudha kama akina Dr.Slaa,Zitto,Arfi said,Dr.Kaborou nk. Na Mbowe atakuwa na historia ya kutukuka ndani ya nchi kupita mwanasiasa yoyote wa upinzani.
Swali la kujiuliza,hivi Mbowe asingekuwa m/kiti chama hiki kingekuwa kimesambaratika mapema sana.

ImageUploadedByJamiiForums1441476230.428430.jpg
 
Back
Top Bottom