Mbowe ataondoka kwa aibu na kashifa mbaya. Sema watu wako kimya kwa sababu wako kwenye campaign. Ngoja washindwe utakuja kuniambia. Huwezi kuuza chama bila kuangalia risks zake namna hiyo. Ni mtu mwenye shule ndogo tu anayeweza kuchukua such risks. Tunza hii message utasoma siku zijazo na utanikumbuka.
Pia bila Mbowe, CDM isinge kaa ije isimamishe mtuhumiwa wa ufisadi ktk nafasi ya uraisi! na hivyo kuishuidhia hadhi sana CDM...
Hao wenye shule kubwa wamelifikisha wapi taifa?
Katika wanasiasa watakaokuwa na historia iliyotukuka katika siasa za upinzani ni Mh.Freeman Alkael Mbowe. Mbowe ni zaidi ya kiongozi, anabeba nyanja zote za uongozi maono(vision),ushawishi(influence) na hatima(destiny). Mimi naamini Mbowe anajenga chama kama taasisi, ipo siku Mbowe ataiacha CHADEMA katika mikono salama na hapo ndipo utakuwa mwisho wake wa siasa. Ni mwanasiasa atakayeondoka CHADEMA bila bughudha kama akina Dr.Slaa, Zitto, Arfi said, Dr.Kaborou nk. Na Mbowe atakuwa na historia ya kutukuka ndani ya nchi kupita mwanasiasa yoyote wa upinzani.
Swali la kujiuliza, hivi Mbowe asingekuwa mwenyekiti chama hiki kingekuwa kimesambaratika mapema sana.
Ya just like a fool, a fool completly
Haina tija wa haitakiwi kutunzwa. Tuliambiwa cdn haifiki2010 itakua imesambaratika ikatoboza tena kwa kishindo. Hawakuchoka wakaendelea na wimbo wao haifiki2012 ikatoboza tena kwa nguvu kubwa sasa naona mnaendelea na nyimbo zile zile.
Kwa taarifa yako tu ni kwamba Slaa ndiyo aliyekuwa mwokozi wa CDM na sasa hayupo ujue hakuna CDM pia. Time will tell.
Chadema ni chama cha upinzani kilichoanzishwa na Edwin Mtei mkwe wake na Freeman Mbowe.Katika wanasiasa watakaokuwa na historia iliyotukuka katika siasa za upinzani ni Mh.Freeman Alkael Mbowe. Mbowe ni zaidi ya kiongozi, anabeba nyanja zote za uongozi maono(vision),ushawishi(influence) na hatima(destiny). Mimi naamini Mbowe anajenga chama kama taasisi, ipo siku Mbowe ataiacha CHADEMA katika mikono salama na hapo ndipo utakuwa mwisho wake wa siasa. Ni mwanasiasa atakayeondoka CHADEMA bila bughudha kama akina Dr.Slaa, Zitto, Arfi said, Dr.Kaborou nk. Na Mbowe atakuwa na historia ya kutukuka ndani ya nchi kupita mwanasiasa yoyote wa upinzani.
Swali la kujiuliza, hivi Mbowe asingekuwa mwenyekiti chama hiki kingekuwa kimesambaratika mapema sana.
Nimepita maeneo fulani ya tabata nimekuta watoto umri miaka 7 mpaka 15 wanacheza mpira, timu moja inaitwa magufuli na nyingine Lowasa. Magufuli alikuwa kafungwa 2. Mmoja akawa analalamika mwenzie akamjibu si umechagua mwenyewe kuwa magufuli. Hawa watoto wamenifurahisha sana kwa ubunifu wao!