Katika wanasiasa watakaokuwa na historia iliyotukuka katika siasa za upinzani ni Mh.Freeman Alkael Mbowe. Mbowe ni zaidi ya kiongozi, anabeba nyanja zote za uongozi maono(vision),ushawishi(influence) na hatima(destiny). Mimi naamini Mbowe anajenga chama kama taasisi, ipo siku Mbowe ataiacha CHADEMA katika mikono salama na hapo ndipo utakuwa mwisho wake wa siasa. Ni mwanasiasa atakayeondoka CHADEMA bila bughudha kama akina Dr.Slaa, Zitto, Arfi said, Dr.Kaborou nk. Na Mbowe atakuwa na historia ya kutukuka ndani ya nchi kupita mwanasiasa yoyote wa upinzani.
Swali la kujiuliza, hivi Mbowe asingekuwa mwenyekiti chama hiki kingekuwa kimesambaratika mapema sana.
Swali la kujiuliza, hivi Mbowe asingekuwa mwenyekiti chama hiki kingekuwa kimesambaratika mapema sana.