Ashindwe Nani? Sisi Hatuwazi Kushindwa Tushindwe Nanani Wakati Sisi Ndio Wenye Nchi Na Tumeamua Kuichukua Nchi Yetu? Tahazali Msituibie Kura Zetu
Katika wanasiasa watakaokuwa na historia iliyotukuka ktk siasa za upinzani ni Mh.Freeman Alkael Mbowe. Mbowe ni zaidi ya kiongozi,anabeba nyanja zote za uongozi maono(vision),ushawishi(influence) na hatima(destiny). Mimi naamini Mbowe anajenga chama kama taasisi,ipo siku Mbowe ataiacha CHADEMA katika mikono salama na hapo ndipo utakuwa mwisho wake wa siasa. Ni mwanasiasa atakayeondoka CHADEMA bila bughudha kama akina Dr.Slaa,Zitto,Arfi said,Dr.Kaborou nk. Na Mbowe atakuwa na historia ya kutukuka ndani ya nchi kupita mwanasiasa yoyote wa upinzani.
Swali la kujiuliza,hivi Mbowe asingekuwa m/kiti chama hiki kingekuwa kimesambaratika mapema sana.
Mbowe ataondoka kwa aibu na kashifa mbaya. Sema watu wako kimya kwa sababu wako kwenye campaign. Ngoja washindwe utakuja kuniambia. Huwezi kuuza chama bila kuangalia risks zake namna hiyo. Ni mtu mwenye shule ndogo tu anayeweza kuchukua such risks. Tunza hii message utasoma siku zijazo na utanikumbuka.
Na mimi juzi nilipita kijiji kimoja huku usukumani, nikaona ng'ombe mafahari wawili wanapigana, mmoja anaitwa Lowasa na mwingine Magufuli,.. Magufuli alikimbia ulingo.Nimepita maeneo fulani ya tabata nimekuta watoto umri miaka 7 mpaka 15 wanacheza mpira, timu moja inaitwa magufuli na nyingine Lowasa. Magufuli alikuwa kafungwa 2. Mmoja akawa analalamika mwenzie akamjibu si umechagua mwenyewe kuwa magufuli. Hawa watoto wamenifurahisha sana kwa ubunifu wao!
Mbowe ataondoka kwa aibu na kashifa mbaya. Sema watu wako kimya kwa sababu wako kwenye campaign. Ngoja washindwe utakuja kuniambia. Huwezi kuuza chama bila kuangalia risks zake namna hiyo. Ni mtu mwenye shule ndogo tu anayeweza kuchukua such risks. Tunza hii message utasoma siku zijazo na utanikumbuka.
hakitatokea hicho...ni next two monthsNakuambia bda ya uchaguzi ndyo utaona moto wa cdm utakavyowaka.luwasa atakuwa ameenda zake kupunzika na siasa bac tna.watu hawatakuwa na imani na mbowe kwakuiuza chama.mgogoro ndani ya chama utakuwa mkubwa kuzidi ule wa nccr mageuzi ya kina mrema.huo ndyo utakuwa mwisho wa cdm na mwanzo wa chama kipya cha siasa kuzaliwa nakuchukua power ya cdm.
wewe ndio haunazo. mtu aliyojenga cdm ni slaa na ametoka imeanza kusambaratika. mbowe ni mfanyabiashara tu na amepiga dili kubwa ya mwisho kwa kuuza chadema.Katika wanasiasa watakaokuwa na historia iliyotukuka ktk siasa za upinzani ni Mh.Freeman Alkael Mbowe. Mbowe ni zaidi ya kiongozi,anabeba nyanja zote za uongozi maono(vision),ushawishi(influence) na hatima(destiny). Mimi naamini Mbowe anajenga chama kama taasisi,ipo siku Mbowe ataiacha CHADEMA katika mikono salama na hapo ndipo utakuwa mwisho wake wa siasa. Ni mwanasiasa atakayeondoka CHADEMA bila bughudha kama akina Dr.Slaa,Zitto,Arfi said,Dr.Kaborou nk. Na Mbowe atakuwa na historia ya kutukuka ndani ya nchi kupita mwanasiasa yoyote wa upinzani.
Swali la kujiuliza,hivi Mbowe asingekuwa m/kiti chama hiki kingekuwa kimesambaratika mapema sana.
Pia bila Mbowe, CDM isinge kaa ije isimamishe mtuhumiwa wa ufisadi ktk nafasi ya uraisi! na hivyo kuishuidhia hadhi sana CDM...
Katika wanasiasa watakaokuwa na historia iliyotukuka ktk siasa za upinzani ni Mh.Freeman Alkael Mbowe. Mbowe ni zaidi ya kiongozi,anabeba nyanja zote za uongozi maono(vision),ushawishi(influence) na hatima(destiny). Mimi naamini Mbowe anajenga chama kama taasisi,ipo siku Mbowe ataiacha CHADEMA katika mikono salama na hapo ndipo utakuwa mwisho wake wa siasa. Ni mwanasiasa atakayeondoka CHADEMA bila bughudha kama akina Dr.Slaa,Zitto,Arfi said,Dr.Kaborou nk. Na Mbowe atakuwa na historia ya kutukuka ndani ya nchi kupita mwanasiasa yoyote wa upinzani.
Swali la kujiuliza,hivi Mbowe asingekuwa m/kiti chama hiki kingekuwa kimesambaratika mapema sana.
Watu wanamshambulia Mbowe kuwa ameuza chama na kushindwa kuona kitu kikubwa sana ambacho amesaidia ku engineer. Ujio wa Lowassa kule Ukawa na willingness yake kuwa mgombea umesaidia kuepusha mgogoro mkubwa sana ambao ungeweza hata kusambaratisha Ukawa na kuwanyima chance yeyote ya ushindi. Tunasema Dr. Slaa angekuwa mgombea, why? Kwani hao vuongozi wengine wa Ukawa hawana right ya kugombea na wao? Umeshajiuliza position ya Lipumba kuhusu Dr. Slaa kuwa mgombea ilikuwa ipi? What about Mbatia? Wote hawa walikuwa na right ya kupata nomination. Pia unashindwa kuelewa kuwa kulikuwa na debates kali sana kuhusu hilo ila watu kama wewe mlikuwa mnasema Ukawa wanajivutavuta wanapitwa na wenzao. Siasa ni strategies na uwezo wa kutime opportunities na Mbowe ni expert kwenye hiyo. Historia lazima imkumbuke kwa hilo. Lowassa alipatikana wakati Ukawa wakiwa kwenye ukingo wa kusambaratika na walichofanya kikubwa sana akina Mbowe na Mbatia ni kumshawishi akubali masharti ya Ukawa na asimame kwa principle za maadui zake wa zamani, against his own party. Kwa kiongozi wa juu wa CCM mwenye msimamo kama Lowassa, this was not a small feat. Give these men their due respect!!
Kapime maleria!Wamekufikisha hapa mpaka leo unaweza kusoma posts za jf kuna nchi hawajui internet