Utabiri wangu juu ya Uchaguzi Mkuu na hali ya kisiasa miaka 10 ijayo

SIRAHA:-SILAHA
DR SRAA:-DR SLAA nk.
Huenda ni Magufuli mwenyewe kaandika uzi huu,maana hajui tofauti ya R na L
 
Wewe ni mchumia tumbo tu tena kanjanja unayetaffuta fursa hapo It masaki
 
Kama mchambuzi wa maswala ya siasa hapa nchini nisiyekua na chama chochote, huu ndo utabiri wangu kwa siasa za nchi yetu katika miaka 10 ijayo;

CCM itashinda uchaguzi mkuu kwasababu wamesimamisha mgombea mwadilifu, mzalendo wa kweli, mchapakazi, mwajibikaji na mwajibishaji, kimsingi wamesimamisha 'masihi' wa aina yake. Ukawa itashindwa na kulalamika kua wameibiwa kura naam SIRAHA YA MUOVU YOYOTE NI UONGO. Ukawa watashindwa kwasababu wanachama wa upinzani waliochukizwa na kitendo cha ukawa kumpokea fisadi papa, wengi watampigia magufuli, naam waliokua wafuasi wa DR. SRAA na PROF. LIPUMBA wataongeza kura zao kwa Dr. Magufuli, wasomi wengi wazalendo kama mimi tuliokua tunaichukia sana ccm lakini kwa ccm kumsimamisha kiongozi mahiri na madhubuti msomi wa PhD, wengi tutaongeza kura zetu kwa TINGATINGA na kumpa ushindi
.

Vyama vinavyounda ukawa yaani Chadema, cuf, nccr na nrd vitapoteza ushawishi wao kwa wananchi baada ya kushindwa vibaya katika uchuguzi mkuu. Chadema, cuf, nccr na nrd vitafifia katika ramani ya siasa nchini kama si kufutika kabisa. Hivyo wanachama wengi sana wa chadema na vyama vinavyounda ukawa watahamia ACT na CCM, hivyo CCM na ACT vitaongeza ushawishi wao kwa wananchi na kupata wafuasi lukuki kutoka ukawa. Ndipo ukawa na vyama vyake vitafutika au kufifia katika ramani ya siasa nchini huku CCM na ACT viking'aa zaidi na kuwa na ushawishi mkubwa katika siasa za tz. Hivyo kwa miaka kumi ijayo na zaidi tutabaki na vyama viwili tu vikubwa, CCM na ACT. Nini kitatokea nchin kipindi cha miaka kumi ijayo? Siasa ya nchi itabadilika kutoka siasa za matusi, vurugu, propaganda chafu n.k na kua siasa safi kwa maendeleo ya nchi. Kutokana na uongozi safi na bora wa kiongozi mahiri na madhubuti Dr. John Pombe Magufuli, viongozi watawajibika na kuwajibishwa, uchumi wa nchi utakua kwa kasi na kuimalika, nchi itaendelea mara kumi zaidi kuliko kipindi cha jakaya, na baada ya magufuli kumaliza muda wake nchi yetu itakua miongoni mwa nchi zenye uchumi mkubwa na imara barani afrika, na tutaingia katika nchi zenye uchumi wa kati.

Huu ndo utabili wangu kulingana na uzoefu wangu katika siasa za nchi yangu. Buriani chadema, buriani ukawa, buriani ufisadi, unafiki na siasa chafu. Karibu sana sana uadilifu, maendeleo kwa wote na uchumi imara na madhubuti nchini. Zaidi ya yote uchaguzi wa mwaka huu utavunja rekodi kwa kufanyika kwa amani, haki na usawa. Amani usiamini ujumbe huu utakua shahidi baada ya miezi kadhaa kwamba utabiri wangu ni kweli. MUNGU ibariki tz, Mungu mbariki Dr. J.P Magufuli, Mungu wabariki wapiga kura wenye moyo wa uadilifu na uzalendo kama mimi.

Waaibike, wafedheheke, wanaojali maslahi ya vyama vyao bila kujali maslahi mapana ya taifa letu tukufu la Tanzania. Amen. Kama wewe ni mzalendo, share na wenzako. Amen.

SIKOTAYARI KUMJIBU MPUMBAVU YOYOTE KWANI MPUMBAVU NI ZAIDI YA KICHAA, naam maarifa ya mpumbavu ni matusi naye ni rafiki wa ufisadi (FISADI PAPA), umasikini (AKILI MASIKINI), Ujinga (KUTOKUJUA MAMBO) na MARADHI

Umepevuka, umekomaa na unajua nchi unataka mabadiliko yapi

Hongera Sana.
 
Huo ndio uprofessor, hapa kazi tu. Na bado............kila nililotabiri lazima litimie bila kupungua hata moja, ndio maana ya uprofesa, ndio maana huuwezi.

Ukivaa miwani ya bluu utaona kila kitu ni cha bluu!!!
 
Napata kichefuchefu. Msomi gani asiyejua tofauti ya silaha na siraha, utabiri na utabili? Hata jina la Slaa linalotajwa na kuandikwa kila siku hujui spelling zake? Wewe kweli ni msomi wa Dar University kama rais wako anayesema 'Southand'. Ili uwe credible lazima ujue kuandika sahihi na kuzungumza sahihi katika lugha unayoitumia. Ndiyo maana hata siipi nadharia yako umuhimu wowote, maana kama uko careless kwenye kuandika ni dhahiri uko careless katika kufikiri!
Ukosahihi kwani ukiwa na akili mavi, utayaheshimu mavi na kudharau chakula.
 
katika wachambuzi uchwara tena wasio jua na namna ya kuchambua maada na ww umo

yaani na uwezo wa kujua kwamba hata kama ukawa wakikosa urais basi wingi wa wabunge utakuwa fimbo kwa ccm hujui unatuambia chama ambacho hakitapata zaid ha viti vinne bungeni
Naam sishangai kwanini HAKUNA NURU GIZANI.
 
SIRAHA:-SILAHA
DR SRAA:-DR SLAA nk.
Huenda ni Magufuli mwenyewe kaandika uzi huu,maana hajui tofauti ya R na L
Mnakua masikini si kwasababu duniani hakuna utajiri bali KWASABABU VICHWA VYENU NI MASIKINI..............NDIO MAANA MUNGU ALIWEKA JEHANAMU.............HUENDA ANAWAPENDA KWA KINYEMU KWASABABU AKILI ZENU ZIKO NJE NDANI.
 
Hujui kujieleza,hauko fasaha,huna uwezo kuwakilisha unachokiamini,hiyo Jehanamu inakusubiri wewe kwani hâta kwa Mungu hutaweza kujieleza.Akili fupi
 
Alafu unajiita Professor? hii ni shida ya Elimu maana umemalizia na matusi kabla hata haujatukanwa huu ni upungufu wa ufahamu.
Mchambuzi huwezi kuwa na "Bias"
Hapa umeonyesha wazi wewe umetumwa na CCM na uchambuzi wako ni wa kumtuka lowasa akili 0.
hata Dr. Banna pamoja na kwamba yeye ni mwana-CCM hawezi kutoa uchambuzi kama huu hata siku 1.
huu ni zaidi ya Upumbavu na upungufu wa fikra.
Nakutakia siku njema uwe unachambua hata ccm inapoleta watu kutoka Zanzibar kuja kupiga kura za Meya Kinondoni.
Pia ni vema ukachambua kuhusu uchaguzi uliofanyika siku moja na watu wale wale huku bala ccm imeshinda ila zanzibar haukuwa huru.
Tafakali kabla ya kuropoka

Back
Top Bottom