Utabiri wa Shehe Yahya umetimia?!

Omutwale

JF-Expert Member
Feb 4, 2008
1,429
1,045
Alitabiri kifo cha kiongozi na mtu maaraufu nchini kutokea mwezi Juni

Tayari wafuatao wametutoka:

  1. Kaimu Mufti Mkuu, Sheikh Suleiman Gorogosi
  2. Prof Haroub Othman
Kabla yao alitangulia Mwana mipasho Bi. Nasma Khamis Kidogo. Kumbe hii sayansi ya Nyota inafanya kazi!
 
Last edited:
Alitabiri kifo cha kiongozi na mtu maaraufu nchini kutokea mwezi Juni

Tayari wafuatao wametutoka:

  1. Kaimu Mufti Mkuu, Sheikh Suleiman Gorogosi
  2. Prof Haroub Othman
Kabla yao alitangulia Mwana mipasho Bi. Nasma Khamis Kidogo. Kumbe hii sayansi ya Nyoka inafanya kazi!

Mh!!:confused:
 
This is rubbish. There was 100% chance that an important person would die in June. (It all depends on what you consider to be an important person). Not everyone would consider the national death list for June to contain a “leader”.

I prophesy that someone important will die in July. That will certainly happen. In fact, many important people, in and out of Tanzania, will die in July. If that happens, as it must, will you consider me a prophet?

I would like this sort of thing to be below JF
 
Alitabiri kifo cha kiongozi na mtu maaraufu nchini kutokea mwezi Juni

Tayari wafuatao wametutoka:

  1. Kaimu Mufti Mkuu, Sheikh Suleiman Gorogosi
  2. Prof Haroub Othman
Kabla yao alitangulia Mwana mipasho Bi. Nasma Khamis Kidogo. Kumbe hii sayansi ya Nyoka inafanya kazi!

Ulikuwa una maanisha nyota???
 
sawa nyie kazi mnayo, hata mm nilifikiri kuhusu hili nikasema huenda watu wakampa ujiko huyu mzee

ukweli mambo yale ni ya kubahatisha tu
 
Hivi mmesahau kwa huyu ni yule shehe aliyewahi kutabiri kwamba kwenye uchaguzi wa 2005 Tanzania ingepata rais wa kike????????????????????????. Yeye yupo kazini jamani
 
Nami natabiri tutawapoteza wana JF 15 kati ya mwezi july na october.

Wengi walishaondoka na wengi wataondoka so huu siyo utabiri wa kuaminika.Angalia threads zinazoulizia wana JF mbalimbali wako wapi.
Jaribu kutabiri kitu kingine ndugu.
 
Elimu ya Sheikh Yahya ndiyo maana inatwa "Utabiri". Kutabiri kitu maana yake ni kutokuwa na uhakika wa jambo, ila kuonesha kuwa laweza kutokea. Kumbe utabiri unaacha mwanya wa kutotimia kile kilichotabiriwa. Kungekuwa na uhakika 100% usingeitwa tena utabiri! Ndivyo ulivyo hata utabiri wa kisayansi wa hali ya hewa. Wakati mwingine watakwambia kutakuwa na mvua, na usiione! Utabiri!

Kwa hiyo yule mzee Yahya alitabiri na yametokea. Sasa ubishi wa nini? Yangeweza pia yasitokee kwani ni utabiri tu. Labda suala valid la kum-challenge ni kudadisi chanzo cha maarifa hayo, yaani uwezo huo wa kujua yajayo anautoa wapi!

Swali: je utabiri ni elimu ya kutegemea walau kwa kiwango fulani? Ndiyo, japo siyo kwa asilimia 100. Na utabiri upo. Msiukatae, japo chanzo chake cha maarifa ni kigumu kuelezea kisayansi. wengine wanatabiri kwa njia ya ndoto, wengine kwa kusoma nyota, wengine kwa njia ya pepo, nk. Hata Nostradamus karne nyingi zilizopita alitabiri juu ya kupigwa mabomu majengo pacha ya marekani. Na yakaja kutokea. Utaelezaje hilo?
 
Alitabiri kifo cha kiongozi na mtu maaraufu nchini kutokea mwezi Juni

Tayari wafuatao wametutoka:

  1. Kaimu Mufti Mkuu, Sheikh Suleiman Gorogosi
  2. Prof Haroub Othman
Kabla yao alitangulia Mwana mipasho Bi. Nasma Khamis Kidogo. Kumbe hii sayansi ya Nyoka inafanya kazi!
Yule shekh Yahya ni msomi mzuri sana wa dini ya kiislamu, na kazi ya UTABILI anayofanya imekatazwa sana na DINI yake, maana anafanya kazi ambayo elimu yake iko kwa mungu tu, elimu ya siri, MUNGU PEKEE NDIYE AJUAE YANAYOKUJA..ile zambi inaitwa shirki,na hakuna ZAMBI kubwa kama kumshirikisha mwenyezi mungu...lakini yeye nae anaJUSTIFICATIONS zake za kuhalalisha analolifanya...

angekuwa hakusema nchini, basi angesema utabili wake ni MJ(Michael jackson)..
utabiri wa nyota ni very physicoloical phenomenon, ukishaamini unaweza kujikuta unamuabudu mtabiri...
 
Hivi mmesahau kwa huyu ni yule shehe aliyewahi kutabiri kwamba kwenye uchaguzi wa 2005 Tanzania ingepata rais wa kike????????????????????????. Yeye yupo kazini jamani

Unamaanisha nini mkuu? Watchout you can be among Ze Utamu suspected persons kwa statements zako
 
yule shekh yahya ni msomi mzuri sana wa dini ya kiislamu, na kazi ya utabili anayofanya imekatazwa sana na dini yake, maana anafanya kazi ambayo elimu yake iko kwa mungu tu, elimu ya siri, mungu pekee ndiye ajuae yanayokuja..ile zambi inaitwa shirki,na hakuna zambi kubwa kama kumshirikisha mwenyezi mungu...lakini yeye nae anajustifications zake za kuhalalisha analolifanya...

Angekuwa hakusema nchini, basi angesema utabili wake ni mj(michael jackson)..
Utabiri wa nyota ni very physicoloical phenomenon, ukishaamini unaweza kujikuta unamuabudu mtabiri...

tena tunafanya makosa sana kumshabihisha na uislam, mungu atusamehe
 
tena tunafanya makosa sana kumshabihisha na uislam, mungu atusamehe

Kwenye sherehe za mauridi amekuwa msomaji mzuri sana ktk mabaraza kwanini asiusishwe na uislam?
Kamulize sheikh wako kwanini sheikh Yahyah Husain?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom