Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
1. Wanawake wengi wapo hatarini kupata mimba
2. kondom zitapata soko sana siku ya valentine
3. vyumba vya guest house vitajaa (piga booking mapema)
4. hospitali nyingi siku zijazo zitakuwa na watu wanaotaka kupima mimba, ukimwi, kisonono ,etc
5. night club na bar nyingi sana zitapata pesa.
6.akaunti za washkaji wengi zitapungua kwa ajili ya matumizi mengi kupita kiasi