Papaaa mukuubwaaa
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 2,193
- 1,978
Sio makosa yakoAcha utapeli mkuu
Sio makosa yakoAcha utapeli mkuu
Ameolewa huyo Anjela?Kumteua fisadi Anjela Kizigha ni tusi kwa watanzania
Huyo ni johnthebaptistKwa mara ya kwanza nakuunga mkono
Mkuu Paapaa Mukuubwaa, hapa umeshauteka tayau uzi wa Etwege.Fuatilia Uzi wangu wa maono Niliyopewa Juu ya ujio Wa Yesu Tanzania na atakavyoanzia Enzi mpya
Wanabinya vyombo vya habar
Shughuli za vyama vya siasa
Wanaharakati
Uchaguzi huru na WA haki
Asasi imara za kiraiya (siyo za machawa)
Kisha wanalalamika wizi kwenye report ya CAG?
Nani hapo Lumumba wa kuweza kihoji wizi Sasa?
Kuanzia diwani mpaka raisi huyu muuaji wote wezi.
Bunge li kibogoyo wamejaa machawa mule ndani. Unategemea nn?
Pm anapokea rushwa cash kwenye sandarusi
😀😀😀Kwa mara ya kwanza nakuunga mkono
Sijawahi kuona watu wanafiki kama ccm1. Sema mh RAIS anawadharau chademoghasia pamoja na tecdema
-mh RAIS anasimamia vitu vingi sana kwa wakati mmoja, anathubutu na anaweza.
2. kwa dunia ya sasa, sema ni nchi gani ambayo gharama za maisha hazijapanda?
-eti gharama za mafuta! hv una akili timamu wewe? haujui mafuta yanatoka wapi we nyumbu au kule irani kaendapo mh rais samia? hauoni tahira wenu wa marekani anachokifanya yanakotoka mafuta? ni nchi gani ambayo haijahaha kuhusu gharama za mafuta?
3. niambye machinga wanaohangaika? au unataka majiji yakae kama mavi yanavyopangana kwenu?
-tofauti na kwenda gerezani kumuona yule ropo ropo na kwenda kutafuta katiba kwenye maduka ya simu, uliwahi kutembelea jijij kubwa lolote uone mpangilio wa wafanyabiashara wadogowadogo?
mkuu kukubalika hua kuna aina mbalimbali,Story za kujifariji ni Kijiji kipi ambacho wanataka huyo mama yenu aendelee
Uzi upoMkuu Paapaa Mukuubwaa, hapa umeshauteka tayau uzi wa Etwege.
Ungepandisha Uzi unoaojitegemea kuhusiana na utabiri wako, ingalikuwa ni jambo la hekima sana.
We utakuwa unawashwa washwaKobazi nenda kizimkazi ukale nguruwe usindikize na ndizi
Hivyo vijeba ni vya kuvidharau tu Sasa. Ni vijinga vijinga mnooo.1. Sema mh RAIS anawadharau chademoghasia pamoja na tecdema