ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,568
- 44,786
Jamaa katisha Sana kuanzia Sasa hivi kabla Sija bet na mconsult kwanzaMkuu agiza chochote kwa bili yangu
Jamaa katisha Sana kuanzia Sasa hivi kabla Sija bet na mconsult kwanzaMkuu agiza chochote kwa bili yangu
Yaani Uzi mzima ni yeye tu kabet sahihi? Kuna watu na viatu.Duh we noma
Umesubiri wiki ngapi ili kuja kujibu hiyo comment? CowardNdivyo ulivyotaka kusikia wewe
Nimesha MP Sasa hivi kabla sijaweka mzigo kwa team moja namcheki Kwanza upepo wakeYaani Uzi mzima ni yeye tu kabet sahihi? Kuna watu na viatu.
Msimamo bado ni huu huu mkuu?Mwambie babu yako kuwa ulaya sio bongo na uzee mwisho bongo tu
Hizi nyuzi za kijijini huwa tunatembelea nadra sanaUmesubiri wiki ngapi ili kuja kujibu hiyo comment? Coward
Unatumia device gani hiyo isiyokuonyesha notification?Hizi nyuzi za kijijini huwa tunatembelea nadra sana
ziko que nyingi sana, za kijijini naipa low priorityUnatumia device gani hiyo isiyokuonyesha notification?
Fantasy hizi.ziko que nyingi sana, za kijijini naipa low priority
Ulikaribia sana kupatia lakini ukakosea; MCI ilikuwa karibu sana na lango na CHE kwa muda mrefu sana lakini hawakutoboa, Niliudhiwa sana na Streling kuwa anamlalamikia refa kila anaposhindwa kuchukua mpira au anaponyang'anwya mpira,Game itapigwa siku ya jumamosi tarehe 29/05/2021 ndani ya dimba la Estadio Do Dragao ndani ya nchi Ureno.
Tupia utabiri wako hapa.
Utabiri wangu.
Chelsea 0 vs Man City 3
Either Players to Score.
1. Riyad Mahrez
2. Reuben Diaz
Hapo vipi?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Game itapigwa siku ya jumamosi tarehe 29/05/2021 ndani ya dimba la Estadio Do Dragao ndani ya nchi Ureno.
Tupia utabiri wako hapa.
Utabiri wangu.
Chelsea 0 vs Man City 3
Either Players to Score.
1. Riyad Mahrez
2. Reuben Diaz
Hapo vipi?
Msalimie sana babuBabu kaniambia KOMBE anachukua Chelsea.
Kwa mpira kitu cha kawaidaPole sana kwa maumivu unayo yapitia Mkuu.
Matokeo ya mpira mkuu ni kawaida na kumbuka tulikuwa tunabashiriMsimamo bado ni huu huu mkuu?