Utabiri: UEFA Champions League Final itakuwa Chelsea 0-3 Man City

Game itapigwa siku ya jumamosi tarehe 29/05/2021 ndani ya dimba la Estadio Do Dragao ndani ya nchi Ureno.

Tupia utabiri wako hapa.

Utabiri wangu.

Chelsea 0 vs Man City 3

Either Players to Score.

1. Riyad Mahrez
2. Reuben Diaz

Hapo vipi?
Ulikaribia sana kupatia lakini ukakosea; MCI ilikuwa karibu sana na lango na CHE kwa muda mrefu sana lakini hawakutoboa, Niliudhiwa sana na Streling kuwa anamlalamikia refa kila anaposhindwa kuchukua mpira au anaponyang'anwya mpira,
 
Game itapigwa siku ya jumamosi tarehe 29/05/2021 ndani ya dimba la Estadio Do Dragao ndani ya nchi Ureno.

Tupia utabiri wako hapa.

Utabiri wangu.

Chelsea 0 vs Man City 3

Either Players to Score.

1. Riyad Mahrez
2. Reuben Diaz

Hapo vipi?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom