Utabiri: UEFA Champions League Final itakuwa Chelsea 0-3 Man City

Fainali isiyo na ladha, Chelsea anaenda kuvunja rekodi ya Simba kwa kaizer chiefs anadhalilishwa 5-0
 
Mara ya mwisho chelsea kushinda kwa kuanzia goli tatu nafikiri ni kipindi cha Lampard (sina kumbukumbu nzuri hapa) siku hizi ushindi wao mkubwa ni magoli mawili. Ila wao kufungwa ni mpaka goli tano.

Mostly kwakua wanakaba sana kuliko kushambulia na namna yao ya kushambulia ni kufosi kupita pasipopitika hii inasababisha off sides na freekicks za kumwaga.

City naye kwa Newcastle ushindi ulikua wa maswali. Kwa Brighton kafa (red siyo kisingizio). Brighton mpira wao kama chelsea. Na city kucheza strikerless siyo kama anapenda ila Jesus na Kun hawafanyi delivery inayotakiwa hivyo jukumu la kuscore ni la Mahrez.

Naona chelsea ikicheza 3 4 1 2 na 1 akawa Mount halafu 2 akawa Werner na Pulisic au Giroud anashinda kwa urahisi.
Ikicheza 3 4 2 1 na hiyo 1 ndiyo akawa Werner chelsea itafungwa kwakua italazimika itumie nguvu kubwa kutafuta goli na wakifanya hivyo wanampa space Sterling au Mahrez kubenefit na speed.

Kwangu mimi matokeo ya mechi yataamuliwa zaidi na formation ya chelsea.
Crystal Palace waliifunga Chelsea 4-1
 
Crystal Palace waliifunga Chelsea 4-1
Hapa sijaelewa kwakua nimesema ushindi wa Chelsea ni magoli 2 ila wamefungwa mpaka goli 5. Na umesema Palace waliifunga Chelsea 4 so nipo sahihi?
 
Game itapigwa siku ya jumamosi tarehe 29/05/2021 ndani ya dimba la Estadio Do Dragao ndani ya nchi Ureno.

Tupia utabiri wako hapa.

Utabiri wangu.

Chelsea 0 vs Man City 3

Either Players to Score.

1. Riyad Mahrez
2. Reuben Diaz

Hapo vipi?
Mwenzako nalia huku, nimeweka rehani nyumba, mke, watoto na shamba na vyote vilivyomo, Hadi kuku, Bata na njiwa🕊️
 
Hapa sijaelewa kwakua nimesema ushindi wa Chelsea ni magoli 2 ila wamefungwa mpaka goli 5. Na umesema Palace waliifunga Chelsea 4 so nipo sahihi?
Ndivyo ulivyotaka kusikia wewe
 
Game itapigwa siku ya jumamosi tarehe 29/05/2021 ndani ya dimba la Estadio Do Dragao ndani ya nchi Ureno.

Tupia utabiri wako hapa.

Utabiri wangu.

Chelsea 0 vs Man City 3

Either Players to Score.

1. Riyad Mahrez
2. Reuben Diaz

Hapo vipi?
Utabiri umekua mchungu naona! Vipi lakini mkuu unaendeleaje huko?
 
Back
Top Bottom