Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Nitafurahi na yeye akitumbukia maji ya bahari chumvi,nimechoka kuoga maji ya chumvi
 
Nilikuwa na safari ya kwenda Dubai nitafanyaje sasa
Ndugu yangu endelea na mipango yako kama kawaida, kuna maelfu ya ndege duniani kila dakika anga imejaa na kwa uwezo wa Munguwanafika salama ni moja ya vyombo vinausalama sana sababu kubwa automated haya mambo yanatokea kama gari zinaanguka kila siku bado lakini bado tunapanda gari. Kuwa na imani gari kwa mwaka Tz zinamaliza watu kuliko hiyo ndege na sababu ya ndege kuwa big story sababu ni nadra kutokea kwa kuwa ni salama zaidi inakuwa shock ikitokea lakini gari kila dakika zinachukuwa uhai wa watu. keep safe
 
Yaani mimi hata nikitabiri kwamba POPOMA la kutukuka ambalo limefuzu mbinu za kimedani (GENTA) Litachomekwa mkunyenye basi mjue POPOMA la kutukuka popote lilipo mpaka december halitakuwa na marinda.
JUST A JOKE!
Mkuu yaani kabisa Mkuu unaombea na hata kutamani GENTAMYCINE niliwe 'Nukudi' yangu?

Cc: adriz
 
Kuna watu wanafuga majini alafu wanatengeneza mazingira waonekane wao watabiri. .

Mbona hawawezi kutabiri mwisho wao au siku Yao ya kufa. Nimemweleza kifupi tu aendelee kufanya madhambi Kuna moto unamsibiri kwa hamu. .
Hapana nakukatalia.kama anaota na yeye kuja hapa jukwaan kueleza haina ubaya.kuhusu anavyoota kuwa kweli sio vibaya pia ni karama tu mungu anampa.ndoto huwa ni maono anapewa mtu ingawaje wafasiri wa ndoto wachache maana ndoto huwa hailet taswira halisi eti ikupe data kamili itakuwa hivi itakuwa hiv hapana.nikupe mfano, katika manabii wa mungu Yusuf (a.s) alipewa.kipaji cha kutafsiri ndoto.miongoni mwa ndoto maarufu ni za wale wafungwa wenziye wawil ambao waliota, ndoto maarufu hizo sidhan kama kuna asiyezijua. Nichkue moja tu kuonesha mfano.ile ndoto yaMfalme aliyoota ya ng'ombe saba walionona wanaliwa na 7 waliokonda baada ya Yusuf kuelezwa aakasem miaka saba ya neema na mavuno kisha itakuja miaka saba ya njaa.so Misri mfalme akamwambia wewe wewe uliyetafsiri ndio utakuwa mlinzi na waziri wa kilimo na hazina ya chakula.tunaona namna gani Yusuf alifanya kaz hii kwa ufanisi.
Nakueleza hakuna ubaya kuota wala kutafsiri .ukimletea husda mleta ndoto sishangai maana mafundisho yanasema unapoota ndoto nzuri angalia wa kumhadithia huenda akakuonea choyo na husda ndio hayo maneno yako sijui shetan blaa blaa tu unaongea bila elimu.mim namtetea huyu maharage kama anasema huwa anaota kwel basi ni karama mungu humtunuku anayemtaka.Na unapoota ndoto mbaya basi jilinde kutokana na shetani.
Kuonewa wivu kwa ndoto nzuri haijaanza leo.yusuf aliona katika ndoto nyota 12 na mwez vinampa heshima akamwambia baba yake, baba akamwambia ndoto hio aifiche kwa ndugu zake huenda wakamuonea kijicho. So mleta mada unapaniki kwa ndooto za mwenzako.ota na wewe kisha tuletee hapa tuone yakitokea utapewa hongera zako
 
Kuna watu wanafuga majini alafu wanatengeneza mazingira waonekane wao watabiri. .

Mbona hawawezi kutabiri mwisho wao au siku Yao ya kufa. Nimemweleza kifupi tu aendelee kufanya madhambi Kuna moto unamsibiri kwa hamu. .
Kuota na kutabiri ni vitu viwil tofaut useless kabisa arguments yako.
Mtu kaota ana kosa gani kuhadithia alichoota? Wewe huwa huoti? Au choyo kuona alichoota mwenzako kimetokea?
 
Pasi, jamaa alitabiri vilivyo. Utabiri huwa ni chembechembe zenye uhalisia upelekeao tukio, ni patterns tu mkuu maharage ya ukweni yuko sawa. Ajali imetokea

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
Kiufupi ajali niliyotabiri ndio hii na rangi ya ndege kwenye Logo sio shida coz kuna wakati za kijani na njano nilianza kuziona lakini baadae sijui kwani nikaona rangi nyekudu.Baada ya kumaliza form 6 Benjamini Mkapa HGL nilikuwa nawaza sana Majibu ya Language 1 na 2.iLA NILIJIONA noma sana kuna siku nikaletewa mitihani yangu ya Language 1 na 2 imesahihishwa nikaonyeshwa na maksi nilizopata na baada ya matokeo kutoka nilipata D ambayo ukijumlisha zile maksi nilizoonyeshwa kwenye ndoto ukagawanya kwa 2 lazima GRADE iwe D
 
Samahani mkuu,ww ni Nani? Na unasali Imani gani?
 
Nakuunga mkono,watu wanaangalia kitu kidogo tu, yaani rangi,Ila hawaoni tukio zima,na mengine mengi. Mfano
Mtoto
Ndege kuanguka
Ndege kukatika vipande viwili
 
Back
Top Bottom