Zanzibar 2020 Utabiri: Samia Suluhu kuwa Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania

Japo ni kweli ki protokali VP ni mkubwa kuliko rais wa Zanzibar, ila kimamlaka, VP ni just a ceremonial position as a standby, in case something happens to the president, lakini hana mamlaka yoyote, hana powers zozote za kufanya chochote na hata akikaumu urais hawezi kusaini chochote, zaidi ya kutembea na mikasi na kumwakilisha rais kwenye events, lakini rais wa Zanzibar ni rais kweli wa nchi ndani ya nchi, ana dola, ana nguvu na ana mamlaka, hivyo kiutendaji Rais wa Zanzibar ana madaraka na mamlaka kuliko VP.

P.

... in case something happens to the president...
 
Zanzibar ni dola la kiislamu, sio rahisi kwa mwanamke kupewa nafasi ya juu.

Lakini namtakia kila jema huyu mama, ni kiongozi mwema. Jiwe kama anaweza amuachie tu naye apige muhula mmoja uliobakia.
We jamaa ulipiga ramli chonganishi!.
 
Back
Top Bottom