Utabiri huu mpya wa sheikh yahya..........

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,899
Mara ya tatu sasa anatabiri kifo kwa mgombea maarufu....

Nashindwa hata kuelewa malengo yake sasa ni nini?

Nini kilicho jificha ???????????????????
 
Mara ya tatu sasa anatabiri kifo kwa mgombea maarufu....

Nashindwa hata kuelewa malengo yake sasa ni nini?

Nini kilicho jificha ???????????????????
watakuwa wamempenyeza mtu wao ndani ya himaya ya huyo maarufu ili muda ukifika apige style ya MOSSAD hit-men.
Mawazo yangu hayatulii sijui kwa nini?
 
Ngoja nitampambanisha na PWEZA PAUL nione kama hajatolewa nishai na huo utabiri wake
 
si unaona kikwete anvyoanguka mara kwa mara na nasikia sehemu zingine wameficha ukweli a kuanguka kwake labda anamtabilia kifo kikwete kwa sababu hajui ni idadi gani ya majini inatakiwa kikwete awe nayo ili asianguke tena............
 
Huyu mzee njaa kali anawatisha ili wamfate ajifanye anawapa dawa atakufa yeye mwenyewe..asituletee nuksi zake
 
uyu shehe yahya ni pweza tu, hana lolote, nimchawi, mganga, mshirikina, msoma nyota, mtoto wa shetani anayeiwakilisha vizuri dini yake. hana maana hapa tz.
 
Kwanini kizazi hiki kinaamini mambo haya ya ushirikina?Nyie mwapaswa kujua kuwa kila nafsi itaonja mauti hivyo kesheni mkiomba kwani hamjuhi siku wala saa,mfano tembeleeni global publishers wametoa picha ya mzee aliyegongwa na basi na kufariki leo asubuhi pale ubungo.Ewe mungu mungu mungu waaanguuu,mbooona umeniaacha!
 
Mungu yupo na kamwe shetani atashindwa,, Huyu mzee kapewa sana mdomo na uhuru wa kuongea,,


Naomba MUngu aepushie mbali asife mtu... ila Slaa asinde...
 
Mara ya tatu sasa anatabiri kifo kwa mgombea maarufu....

Nashindwa hata kuelewa malengo yake sasa ni nini?

Nini kilicho jificha ???????????????????

Anataka kumzoofisha SILAHA kwa mambo ya kichawi. Huyu mchawi safari hii kachemsha. haogopi mtu lazima nchi ichukuliwe. Na tukiupata urais umekwisha, mambo ya kichawi chawi katika nchi yetu ndo mwisho. Nchi haiwezi kuendeshwa kwa utabiri, nchi inaendeshwa kwa sayansi (ingawa SIYOVYETU wamechakachua sayansi)
 
:nono: He might be up to something. Mimi siamini kwamba ni utabiri, hasa kipindi hiki cha uchaguzi . Kumbuka kwamba, ni advantage kwa CCM endapo uchaguzi utasogezwa mbele, na tayari kuna mgombea urais mgonjwa. Think Big. :confused2::confused2: :nono:
 
Ni akili finyu, ikiwa wote waTZ tutaamini suala hili, who is he? Kama ni shekhe hata dini ya kiislam haikubaliani na ushirikina huo. Hao wanaoumpa headline or front page ni magazeti ya UDAKU.
 
Back
Top Bottom