Utabiri 2024; mengi aliyotabiri yameanza kutokea

Utabiri 2024; mengi aliyotabiri yameanza kutokea

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,211
Reaction score
138,614

View: https://youtu.be/ZRtV1GTdV3c?si=utlV5n-p9g7L7AZq

Machache niliyoyanasa

Barua ya kugombea kupitia CCM alipewa Askofu Gwajima, bahati mbaya alikuwa kazubaa

Akaja mwanamke akanyakua kwa nguvu ile barua na kusonga mbele

Mungu akamwambia yule mwanamke kuwa hana kibali ya kugombea

Mh.Mbowe akachukua barua ya Chadema na kumpa Askofu Gwajima agombee kupitia Chadema

Mungu ataanza kumuaibisha yule mwanamke aliyenyakua barua aliyopewa Gwajima na CCM. Mwanamke atakosa ushawishi, ataanza kutoa kauli za ajabu ajabu. Watu wataanza kutoa kauli za kumbeza.

Mtabiri anasema Bwana amemtuma amwambie Samia kuwa hana kibali cha kuendelea kuwa Rais 2025. Alisema yeye atalazimisha kutaka kuendelea kuwa Rais lakini bwana atamgeuza kuwa kama binti na kufanya vitu vya aibu visivyoendana na umri wake.
 
Unakumbuka Mzee John Paul Magalle Shibuda ( Mzee wa misamiati ya kiswahili)?

Kwako mleta mada, dadavua.
 
Gwajima huyu ambae 2020 katika uchaguzi mkuu Chadema walimponda na kumuona asiefaa kupambana hata na mgombea wao wa ubunge, halafu leo hii mmleta mada unampambania agombee uraisi kupitia Chadema!

Yale yale ya 2015, lilitengenezwa zengwe na CCM yenyewe kwa kujifanya kuwa kuna ugomvi wa raisi Kikwete na Lowasa makusudi kwa lengo la kumtaka achukuliwe na Chadema akagombee (UKAWA) kimkakati halafu uchaguzi ukishaisha audi CCM maana kwa aina ya tume na siasa zao wanajua fika kwamba hakuna mpinzani atakaeshinda uraisi hata mleta mada hili unalijua, japo umeamua kufurahisha kijiwe cha JF makusudi.

Ila kwa vile kuna watu wana akili za kuku ambapo unampiga mawe dakika mbili na ya tano ashasahau, leo hii wanamuona Gwajima ni ticket yao ya ushindi wa uraisi kama walivyomuona Lowasa.
 
Acha upotoshaji...ungeleta zamani tungekuelewa
 
Nimeona clip kadhaa za utabiri wa uchaguzi wa 2025, kabla ya haya mauza uza ya utekaji.
 
Back
Top Bottom