py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,454
Utabiri wa nyota hakunaUtabiri sio dhambi ....Kwani elimu ya nyota...hata yesu alipozaliwa wanajimu walisoma ile nyota na kujua fulan amezaliwa pahala fulani hata ww ulpoxaliwa nyota yako ilionesha...ila ka sie tusojua ndo ivo ila hata hao viongoxi wa nchi hawaendi popote bila kutazama elimu ya nyota ipo kabisa...ivo uyo kafanya utabiriwi kulingana na elimu yake....na sometime mambo hubadilika
Utapeli hakuna kitu cha nyota