Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,554
hawa hawa kaka kila mtu anaingiza siasa, mpaka watabiri, waganga wa kienyeji, makanisani na misikitini ni siasa tu, sijui ka tutafikaitakuwa China hiyo...
ili waendelee kututawala vizuri...

Aongee tu atakavyo, ila asimguse juma pumba mashudu, hata utabiri usipotimia mdomo halipii vati!![]()
Mtabiri maarufu Tanzania Maalim Hassan Y. Hussein na ambaye pia ni mtoto wa alokuwa mtabiri wa Tanzania na Afrika Mashariki the late Sheikh Yahya Hussein ametabiri mambo mengi na matukio mengi yanayotarajiwa katika mwaka huu 2017 ....
Miingoni mwa hayo ni .....
"Viongozi wakubwa wa vyama vya upinzani duniani ikiwamo Tanzania watarejea kwenye vyama walivyovihama" ...... " .... sambamba na kifo cha chama kimoja maarufu cha siasa hapa nchini" Alisema Maalim Hassan Y. Hussein ....
Na: Frank Monyo - Nipashe
utabiri huu ni sawa na ule wa mh lema mbunge .au naota tu.![]()
Mtabiri maarufu Tanzania Maalim Hassan Y. Hussein na ambaye pia ni mtoto wa alokuwa mtabiri wa Tanzania na Afrika Mashariki the late Sheikh Yahya Hussein ametabiri mambo mengi na matukio mengi yanayotarajiwa katika mwaka huu 2017 ....
Miingoni mwa hayo ni .....
"Viongozi wakubwa wa vyama vya upinzani duniani ikiwamo Tanzania watarejea kwenye vyama walivyovihama" ...... " .... sambamba na kifo cha chama kimoja maarufu cha siasa hapa nchini" Alisema Maalim Hassan Y. Hussein ....
Na: Frank Monyo - Nipashe
Congrats "a verified JF member" 4 being among JF's great thinkers .... sie narrow minded ngoja tuendelee kuzitafakari kauli za huyu maalimAwe Joshua, awe Hussein awe nani!! Wote Wa aina hiyo hawawezi kuwa chanzo cha mjadala kwa GT's.
Heri ww ulojaaliwa kufaham japo kias flan .... hongera ..... mana pana watu humu ni majanga aseeeUtabiri sio dhambi ....Kwani elimu ya nyota...hata yesu alipozaliwa wanajimu walisoma ile nyota na kujua fulan amezaliwa pahala fulani hata ww ulpoxaliwa nyota yako ilionesha...ila ka sie tusojua ndo ivo ila hata hao viongoxi wa nchi hawaendi popote bila kutazama elimu ya nyota ipo kabisa...ivo uyo kafanya utabiriwi kulingana na elimu yake....na sometime mambo hubadilika
Nime like kwa bahati mbaya.simpendi lema kabisa.shindwa pepo.Kuna watu wanakesha humu wakikosoa ndoto za Lema na ukiwasikiliza wana hoja za msingi, lkn leo wako mbele kushadadia ndoto za huyu mpiga tumba.
![]()
Mtabiri maarufu Tanzania Maalim Hassan Y. Hussein na ambaye pia ni mtoto wa alokuwa mtabiri wa Tanzania na Afrika Mashariki the late Sheikh Yahya Hussein ametabiri mambo mengi na matukio mengi yanayotarajiwa katika mwaka huu 2017 ....
Miingoni mwa hayo ni .....
"Viongozi wakubwa wa vyama vya upinzani duniani ikiwamo Tanzania watarejea kwenye vyama walivyovihama" ...... " .... sambamba na kifo cha chama kimoja maarufu cha siasa hapa nchini" Alisema Maalim Hassan Y. Hussein ....
Na: Frank Monyo - Nipashe
anatembelea nyota ya baba yake hana lolote![]()

Nyota? Mnasubiri kuonyeshwa nyota zenu na wapiga ramli? Wao nyota zao zimewashinda kutwa kucha kutafuta za wenzao.!! Poleni Viongozi wa dini mnaoongoza waumini wanaosubiri kusafishiwa nyota kama huyu ambaye yuko busy na nyota kama jina lake.Heri ww ulojaaliwa kufaham japo kias flan .... hongera ..... mana pana watu humu ni majanga aseee
".... niko "busy" na nyota kama jina langu ..." asante mkuu .... aman tuNyota? Mnasubiri kuonyeshwa nyota zenu na wapiga ramli? Wao nyota zao zimewashinda kutwa kucha kutafuta za wenzao.!! Poleni Viongozi wa dini mnaoongoza waumini wanaosubiri kusafishiwa nyota kama huyu ambaye yuko busy na nyota kama jina lake.