Utaalamu wa kuzuia majanga ya moto

AHAKU

Member
Jan 28, 2010
26
1
Nawasalimu wafikiriaji wakuu
Naomba msaada kuhusu njia bora ya kuzuia majanga ya moto majumbani. Nyumba yangu nimeunganisha umeme wa tanesco wiring yake ndio hiyo hiyo ya Kiswahili (sina uhakika na vifaa kama ni bora ama feki)
Nina wasiwasi siku umeme huu kuja kunilipukia hivyo nawaomba wajuzi waniambie kuna kifaa chochote ninachoweza kukifunga nyumbani kuzuia hitilafu ya moto unaoweza kusababishwa na umeme
Nawashukuru
 
Mtafute electrical engineer aweze kukagua wiring ya nyumba yako na kutoa ushauri, hakikisha una circuit breaker nzuri, powder fire extinguisher ya 15 kg hivi kama kuna emergency. Jitahidi kuweka power surge protector katika baadhi ya vifaa kama TV, fridge, AC ...........

Tatizo kubwa ni ubora hafifu wa vifaa vya umeme katika soko letu, asilimia 90% ni poor quality materials from china.
 
jaribu kwenda fire watakusaidia vizuri kuhusu vifaa vyakukupa taadhari kama kuna moto
 
Back
Top Bottom