Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,262
- 18,251
Watu huzaliwa makaburini?Hayo makaburi uyaonayo ni ya viazi au Mihogo?Tuanzie hapo Kwanza,inaelekea Bado uko chekechea!
Watu huzaliwa makaburini?Hayo makaburi uyaonayo ni ya viazi au Mihogo?Tuanzie hapo Kwanza,inaelekea Bado uko chekechea!
WanachokitakaUtaacha ili wafanyeje?;
Tutarejesha utawala wa sheria. Kila mmoja awe sawa mbele ya sheria. Natamani kukumbukwa kama au zaidi ya anavyokumbukwa Hayati Mchungaji Christopher MtikilaMaisha ni safari ndefu, wahenga walisema ni kweli! Mtu anazaliwa, analia, anasoma, anao/anaolewa na kupata watoto, mwisho wa siku anazeeka au hata akiwa kijana anakufa.
Sasa jamii na familia kwa ujumla itamkumbuka kwa lipi hasa ambalo wanaona ni pengo kwao? Mfano Nyerere, Nelson Mandela, Moringe sokoine, Samora Machel Abrahaman Babu, Bibi Titi Mohamed nk, wanakumbukwa kwa kujitoa kwao kupigania Uhuru wa Nchi zao, wewe je?
sawa acha nikubaliane na iman yako. Kuna faida gan kukumbukwa nikiwa udongo?Nani kasema wanaenda mbinguni!Ulitoka kwa udongo utarudi kwa udongo!
Kuna mtu atakumbukwa kwa kuuza urithi wetuMaisha ni safari ndefu, wahenga walisema ni kweli! Mtu anazaliwa, analia, anasoma, anao/anaolewa na kupata watoto, mwisho wa siku anazeeka au hata akiwa kijana anakufa.
Sasa jamii na familia kwa ujumla itamkumbuka kwa lipi hasa ambalo wanaona ni pengo kwao? Mfano Nyerere, Nelson Mandela, Moringe sokoine, Samora Machel Abrahaman Babu, Bibi Titi Mohamed nk, wanakumbukwa kwa kujitoa kwao kupigania Uhuru wa Nchi zao, wewe je?
Punguza uzuzu wewe, unaonekana ni mtu mzima ila umejitoa ufahamu, thread inakuuliza wewe utakumbukwa kwa lipi? Hujaulizwa kushobokea watu, upuuzi wako huo sio lazima uwe unazunguka nao kwenye kila thread.
Urithi upi Mkuu!Bandari,Twiga kupanda ndege?!
Ongeza na vingine list ni ndefuUrithi upi Mkuu!Bandari,Twiga kupanda ndege?!
Sawa nimekupata mkuu,vitalu nk!
hawa kina Bibi Titi sijajua mchango waoMaisha ni safari ndefu, wahenga walisema ni kweli! Mtu anazaliwa, analia, anasoma, anao/anaolewa na kupata watoto, mwisho wa siku anazeeka au hata akiwa kijana anakufa.
Sasa jamii na familia kwa ujumla itamkumbuka kwa lipi hasa ambalo wanaona ni pengo kwao? Mfano Nyerere, Nelson Mandela, Moringe sokoine, Samora Machel Abrahaman Babu, Bibi Titi Mohamed nk, wanakumbukwa kwa kujitoa kwao kupigania Uhuru wa Nchi zao, wewe je?
SawaUpendo na ucheshi wangu
Walikuwa bega kwa bega na J.K Nyerere kupigania Uhuru, Google Usiwe mvivu!hawa kina Bibi Titi sijajua mchango wao
Njoo Dodoma tupime afya ya Akili Yako!Maana kwa hayo maswali utalazwa mwaka!Haiko sawa Akili.Watu huzaliwa makaburini?
Sawa kwa mtizamo!Wanachokitaka
Unazungumzia "legacy" au sio mkuu? Vijana wanapaswa kupunguza masuala ya hovyo (kuacha 100% ni ngumu) na kufanya masuala yenye impact kubwa ndani ya jamii zao.Maisha ni safari ndefu, wahenga walisema ni kweli! Mtu anazaliwa, analia, anasoma, anao/anaolewa na kupata watoto, mwisho wa siku anazeeka au hata akiwa kijana anakufa.