uswazi

dizaini ka kule mbele kuna vyumba so mambo yote yanaishia humo humo.aiseeeeeeeeehh
 
Kweli mkuu umekosa kazi! Yaani picha ya tarehe 1/5/2008 unatuletea hapa leo?

Mkuu Muhimu kujikumbushia vitu! Hujui ndiyo maana kuna hifadhi ya mambo ya kale! Halafu kumbuka nataka nipotezee yaliyotokea IGUNGA
 


Mh! Kweli hii ni uswazi...bar chafuuuu na hivyo visholi mh! check huyo wa kwanza kulia meno ya njano sijui kama hata mswaki wa mti anapitisha huyo..Lakini watu wamo tu wanakoboa...uleviii noooma!
 
huyu wa kushoto analia au ndio mapozi yenyewe??
 
watu tunataka current issue we unaleta zilipendwa,nini maana ya jamii forums tanzania
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…