Mseme uchawi kwanini? Mbona boti iko juu ya maji kama inavyotakiwa? Kinachokuzingua hapo ni hicho kivuli cha boti ambacho kinafanya boti ionekane kama vile ina hang hewani yaani haijagusa maji. Tazama vizuri.
iko kwenye maji angalia mtu karibu na injini kaingiza miguu majini na angalia nanga imetumbukia majini na kama ingekuwa hewani ile nanga ngekuja kuzama hapo kwenye kivuli.