uswahilini tungalisema uchawi

danali

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
1,135
1,674
hii boti imegusa maji ama haijagusa
 

Attachments

  • mk.jpg
    mk.jpg
    38.2 KB · Views: 354
Mseme uchawi kwanini? Mbona boti iko juu ya maji kama inavyotakiwa? Kinachokuzingua hapo ni hicho kivuli cha boti ambacho kinafanya boti ionekane kama vile ina hang hewani yaani haijagusa maji. Tazama vizuri.
 
Ni ubovu tu wa macho yako...we huoni miguu ya huyo mdau hapo nyuma inagusa maji kabisa, pia hiyo nanga ipo majini tayari...

attachment.php
 
iko kwenye maji angalia mtu karibu na injini kaingiza miguu majini na angalia nanga imetumbukia majini na kama ingekuwa hewani ile nanga ngekuja kuzama hapo kwenye kivuli.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom