Uswahilini maisha ni adventure kila siku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uswahilini maisha ni adventure kila siku

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, Jul 29, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,159
  Trophy Points: 280
  Napita maeneo ya shule ya msingi Tandale Magharibi, foleni ni ndefu na magari hayatembei, barabara imejaa kundi la kina mama wakiongozwa na kundi la matarumbeta eti wanaenda kumsuta mwanamke mmoja amepora bwana wao Magomeni na Kamtuliza maeneo ya Switi Kona.
   
 2. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hahahaha lol..
  Umenikumbusha ule wimbo ..
  "Hivi vituko vya uswahilini "
  "Uswahilini kuna vituko "........
   
 3. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Yaah that is life.. uswahilini matola.

  Lakini pamoja na hayo yote, wao hawana stress kama sisi, life goes on as usual.
   
 4. Mvua Ya Kiangaz

  Mvua Ya Kiangaz JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  Uswahilini ndo kuna maisha halisi...........mengineyo ni full of pretency tu, uswaz wako huru kusema,kufanya chochote hata kama kinamuumiza mwingine,yaani hakuna stress.....life goz on.
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Hizo ndo burudani za uswazi.
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Kabisaaaaa!! uswazi maisha very easy! hakuna complication. Niliishi mbagala mitaa ya misheni pale yaani siku za mwanzo nilipata tabu sana kuelewa jirani akifua nguo anakuja anika kwa jirani kwenye kamba kabsaa yaani wala hawana wasi wasi, fanya hivyo sinza uone hahahahahahahah
   
 7. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  Sidhani h√Ęta kama wana habari kwamba nchi wanaishi imeuzwa na kununuliwa siku nyingi
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,159
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  mbona hii ndogo? Mi nilisha wahi azimwa boksa, jamaa alikuwa amepata demu mpya anataka amuoneshe kuwa yeye ana rock pamba za ma designer kisa... Imeandikwa Tommy Hilfiger... Jamaa aliiona nlipokuwa nimeianika kwenye kamba uani.
   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  uswaz kujiachia...uzunguni kwenu ful maigizo.....
  uswahilini wanaish kwa kanuni ya marxist...ther iz socialism on its own...uzunguni kuna LIBERALISM...tena ya kuiga ambayo ni mbaya saaaaana..everbody on its own wakat uhalisia atujafika uko bado....USWAZI KWA UKWEEE JAMAN....KARIBUN WOTE.

  MAISHA NO STRESSS...KILA KITU NI POUUWAAA FRESH TU YAAN ILI MRAD JUA LINATOKA LIKIZAMA FRESH SIKU IMEKWENDA....
   
 10. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Ulimpa?
   
 11. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hii too much!
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,159
  Trophy Points: 280
  &lt;br /&gt;<br />
  &lt;br /&gt;<br />
  ukimnyima unaweza shushwa mshipa a.k.a busha. Nlimpa nikamwambia akae nayo kabisaaaaaa
   
 13. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ulifanya vyema....kesho yake angekuja kukwambia vip jamaa ile uja condom yeyote apo ndan....unazitupa\?
  unwekee ntakuja kuzichukua ..nkiosha bas mpango mzima
   
 14. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  jamani kweli uswahilini kuna vituko. Sikumoja nilimtembelea dada huku Buguruni, dada huwa anakuitaga Bugz. Akaninunulia kitimoto. Mara kikaja kitoto cha jirani, kidoezi sana. Dada akamimina pilipili nyingi sana kwenye msosi hadi tukawa tunatokwa na machozi kwa kuwashwa, kale katoto kakawa kanakula harakaharaka, halafu kakaomba kama kuna pilipili imebaki tuongeze kwenye msosi. Yaani nilikoma mwenyewe
   
 15. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #15
  Jul 29, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Uchoyo!!!!!!!!!!
   
 16. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #16
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  uchoyo suna babu weee
   
 17. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #17
  Jul 29, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ehh avatar yako nzuri jaman...
   
 18. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #18
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Kama nawaona vile na sare za madera. Huyo msutwaji atahama mtaa.
   
 19. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #19
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hayo mambo ya kwenda kumsuta mtu uswaz mbona ni mambo ya kawaida sana. Tena kuna watu wapo full matarumbeta na mavuvuzela ndio kazi yao. Unawakodisha kwa elfu 50 na wako tayari kutoka tandika hadi mwananyamala kwenda kupiga kazi. Hiyo ndio life ya uswaz!
   
 20. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #20
  Jul 29, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  The doc told him that mast*rb*ting before
  s*x often helped men last longer during
  the act. The man decided, "What the hell, I'll
  try it,"He spent the rest of the day thinking
  about where to do it. He couldn't do it in
  his office. He thought about the restroom,
  but that was too open. He considered an
  alley, but figured that was too
  unsafe.Finally, he realized his solution. On
  his way home, he pulled his truck over on
  the side of the highway. He got out and
  crawled underneath as if he was
  examining the truck. Satisfied with the
  privacy, he undid his pants and started to
  masturbate.
  He closed his eyes and thought of his lover.
  As he grew closer to orgasm, he felt a
  quick tug at the bottom of his pants. Not
  wanting to lose his mental fantasy or the
  orgasm, he kept his eyes shut and replied,
  "What?"He heard, "This is the police. What's
  going on down there?" The man replied,
  "I'm checking out the rear axle, it's
  busted." Came the reply, "Well, you might as
  well check your brakes too while you're
  down there because your truck rolled
  down the hill 5 minutes ago."
   
Loading...