Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 250
Uswahilini ni noma
Jamani kweli Uswahilini ni noma. Mtu kanya kwenye sahani, halafu mavi anakuja kukuwekea mlangoni kwako.
Napita maeneo ya shule ya msingi Tandale Magharibi, foleni ni ndefu na magari hayatembei, barabara imejaa kundi la kina mama wakiongozwa na kundi la matarumbeta eti wanaenda kumsuta mwanamke mmoja amepora bwana wao Magomeni na Kamtuliza maeneo ya Switi Kona.
Balaa na nusuKabisaaaaa!! uswazi maisha very easy! hakuna complication. Niliishi mbagala mitaa ya misheni pale yaani siku za mwanzo nilipata tabu sana kuelewa jirani akifua nguo anakuja anika kwa jirani kwenye kamba kabsaa yaani wala hawana wasi wasi, fanya hivyo sinza uone hahahahahahahah
Code of conducts ni chanzo cha vifo vya watu wengi middle classhicho kinaitwa kigoma cha brazil,kawaida lazima ukipeleke kwa anayesutwa asubuhi asubuhi,yani uswazi bwana raha sana kwa kweli!yani unaweza ukahamia sehemu wakakupenda tu ulivyo na nini ukaja kuombwa ushoga na kitu kama rice cooker hivi,kumbuka yanakuja na matarumbeta hapo!siku ukiingia anga zake au akisikia umemsema sehemu ijue rice coker infuatwa na kigoma cha brazil juu!na wanakuja asubuhi kabla hata mume hajaenda kazini!ila safi sana hawa watu wa hivi kisaikolojia hawana stress za maisha,unamkera anasema,umemchukulia mume anasema,umemchonganisha na housegirl wake anakuendea hewani yani full raha !sio maisha ya pretency tu kila kitu ,limtu linakukeera ofisini unakufa tu na code of conducts!
TrueCode of conducts ni chanzo cha vifo vya watu wengi middle class
Mi napenda harusi za uswazi, kilo hamsini mchele kilo ishirini, soda creti mbili, ndoa na harusi tayari.
KweliLakini ndio inakuwa “sandakarawe” [emoji2260][emoji1714]
Aliyeimba Vituko uswahilini ni Suma G mzee.Yaah that is life.. uswahilini matola.
Lakini pamoja na hayo yote, wao hawana stress kama sisi, life goes on as usual.