Uswahilini kuna wasichana wazuri sana

NAOMBA unipi-emu,unajua mimi mwenyewe ''wa uswazi''unaweza come up na kitu kizuri sana kwa faida yako ya ''uelewa'':D

Mweeeeeeee we Geoff unataka yule nanihiiiii animwagie tindikali kwa uso???
 
Mweeeeeeee we Geoff unataka yule nanihiiiii animwagie tindikali kwa uso???
HA HA HA HA AH!mbona yule mpole sana!halafu si nitamwambia UNAFANYA RESEARCH?!......:D..i mean a sort of dezatesheni:D
 
jamani msifanye utani na vitu vya uswazi ni vya ukweli ukweli sio vya kichina uswazi unatapa kitu original kabisa tofauti na kwa sure alafu sebene wanaliweza sio lakitoto utakimbia kama ujajipanga alafu awana gharama ukinogewa ndoutaanza kupewa invoice mara nataka pesa ya saloon mara nataka nywele kama za yule utakiwi umpende sana
...hehehe hata gono unapata lile originali.

Ila shekhe we acha tu. Waache wanaohangaika kutafuta sifa MAIKOCHENI na wa pi sijui wazisake hizo sifa (na BP juu) ila sisi wazee wa KUWIKA kiukweli tule kuku wa kienyeji wanaojua kutafuta shibe yao MCHANGANI
 
FIDEL mzee wa machinjion najua atakuja na jibu au mtumie PM akupatie dalali wa kiwalani.
ungesema manzese au mabibo ningekusakia mtaala wa vyumba vya uani akutafutie huko.

Lakini jihadhari usisahau ndom hasa za vidonge kama za kawaida hazivaliki.

Natamani Xmass ingesonga japo two more days ili nirudi uswazi kale kabinti bwana we acha tu. Unakapiga bao kanaita jina lako kimahaba Dah yaani unaamua kujiibia mwenyewe na kumkabidhi zoooote mfukoni ah we acha tu
mkuu melezo plz, zinapatikana wapi hizo, huku mwandiga tunaweza kuzipata!
 
Mi nimefanya haraka nikaenda kitaani huko, kwa sample niliyoona nashawishika kukubaliana na hoja iliyopo mezani hapa! si nchezo!
 
Mi nimefanya haraka nikaenda kitaani huko, kwa sample niliyoona nashawishika kukubaliana na hoja iliyopo mezani hapa! si nchezo!

Afu na wewe ulikuwa gesti gani? Tangu asubuhi hatukuoni hapa! LOL!
 
Mi nimefanya haraka nikaenda kitaani huko, kwa sample niliyoona nashawishika kukubaliana na hoja iliyopo mezani hapa! si nchezo!

Uswahili kumebarikiwa sn, maisha ya kawaida na watu wana amani. wamerithika na maisha yao, ukiuza gazeti la daily news litakudodea huku ni IJUMAA NA KIU TU.
 
Uswahili kumebarikiwa sn, maisha ya kawaida na watu wana amani. wamerithika na maisha yao, ukiuza gazeti la daily news litakudodea huku ni IJUMAA NA KIU TU.

Hehehe! Hivi gazeti la UHURU bado lipo?
 
Uswahili kumebarikiwa sn, maisha ya kawaida na watu wana amani. wamerithika na maisha yao, ukiuza gazeti la daily news litakudodea huku ni IJUMAA NA KIU TU.
VIDUME VYA USWAAZI tunashindia kahawa tu,na kucheza bao tangu alfajiri.mashati tunayaweka begani
 
Halafu tuanajua sana story za watu mashuhuri wa kisiasa
Acheni kwenda ofu topiki. Hapa tunazungumzia mashori. Tudume tunahitaji sredi yake. Dalili zinaonyesha mpaka sasa mashori wa uswazi wamewapiga bao kali sana viduu vya masaki & co. Hata mi nimeoa uswazi bana! Nainjoi kinoma!
 
Hawana makuu mizinga hata kama ipo ni sh. 10,000 maximum. Hawana pozi ni waongeaji wazuri na wakarimu. Watoto wa kishua wameaachwa mbali sana na hawa dada zangu wa USWAZI.

Kaka usemacho ni kweli kabisa. Mie tangu nimewagundua nimeachana kabisa na tabia ya kukesha baa nikisubiri baamedi amalize kuhudumia ndo uondoke naye huku ukiwa huna uhakika kama baada ya kunywa bia zako za kutosha hatakuacha kwenye mataa.

Mabinti wa Uswazi ukimpa appointment ya saa 1 usiku yeye anakutafuta saa 11 jioni. Raha iliyoje!!!!
 
Back
Top Bottom