Uswahilini kuna wasichana wazuri sana

Uswahilini kuna wasichana wazuri sana

mabinti wa uswazi bomba sana tuu ila nao kwa "usoshalisti" wamejaliwa. yaani ukipanga chumba uswazi halafu mambo yako yakiwa poa si ajabu mke/wake za watu wakachunuku tena wakati mwingine mke wa mpangaji mwenzako. inabidi uwe na roho ya jiwe kuepuka vishawishi vya wake wa watu lol
 
Unajua mimi ni mtoto wa uswazi pasee naamka nao nashinda nao, kumebarikiwa uswazi jana nilikuwa maeneo ya washua hamna kitu zaidi ya kuvuta fegi.

This is sooooo funny so mkuu umesalute kwamba TMK ni zaidi ya East Coast????....mie ninavyofahamu we ni mtoto wa Upanga kwa washua nilikua sifahamu kwamba umehamia uswazi.....
​
 
dah!mkuu wewe umeinjoi sana matunda ya uswazi!....infact kama kuna dalali wa kiwalani naomba ani-piemu nitafutiwe chumba huko
angalia uswazi sio raha izo tu kumbuka kuna roba za mbao vilevile
 
mabinti wa uswazi bomba sana tuu ila nao kwa "usoshalisti" wamejaliwa. yaani ukipanga chumba uswazi halafu mambo yako yakiwa poa si ajabu mke/wake za watu wakachunuku tena wakati mwingine mke wa mpangaji mwenzako. inabidi uwe na roho ya jiwe kuepuka vishawishi vya wake wa watu lol
da mkulu umenikumbusha nikiwa kijana mitaa ya m,nyamala uswaz pale nilipanga nyumba asee ilikua balaa maana nilikua yanki alone alafu gemu linaita na totoz ndani zilikua zinakaa kama saba hivi,mimama miwili,umrikati tatu ,na vitineja viwili,mzee ilikua ni mduara tu halafu watoto wa uswaz hawana hiyana,akikukuta na mwingine haulizi ananuna tu,atakuuliza kesho
nilipiga gemu pale mademu wa kitaa walikua wanaona napita tu,wanasifia huyu kijana mtaratibu kweli haongei wala nini wala hana demu,kumbe nimezidiwa huko homu,natamani kama vile iwe leo nirudi tena pale mazee.
 
USWAZI kuna watoto mkulu!
nenda pande za KITUNDA,KIWALANI,BANANA,MPIJI,MOSHI-BAR...!ingia KIMARA-KING'ONGO unakuta watoto bado wanatumia mafuta ya nazi kujipaka mwilini!....watoto NATURAL!mimi nyumba ndogo yangu ni mtoto wa uswazi...😀

kiongozi umenitonesha kidonda mie...ahhhhhhh mambi yangu kulee MPIJI..yaani fulllu mautamu nilikuwa naenda site hata week days maana siwezi kukaa home ati wakati mambo iko MPIJI....aaaah MPIJI weeee nakupenda kwa moyo wote na sijuuuuuti kujenga mpiji
 
yaani mkuu we acha tu!
jana tulikaa JAMBO-PUB NA WADAU!dah aliibuka mtoto wa uswazi,nadhani yule anaishi MANZESE-MADIZINI!😀

kama kawaida yake mtoto amekula top ya SAGULA-SAGULA!..chini ana kanga tu.KANGA KWA MAANA YA KANGA!kavaa zake ndala,mzee huyoooooooooooo anakatiza!dah niliinjoi sana
 
Vipi, hukufanikiwa kuiona ile cheni ya kimasai aliyoivaa kwenye shingo ya kati?
 
This is sooooo funny so mkuu umesalute kwamba TMK ni zaidi ya East Coast????....mie ninavyofahamu we ni mtoto wa Upanga kwa washua nilikua sifahamu kwamba umehamia uswazi.....
​

Nshahama niko geto na washikaji si nilisema napiga buku hapa kurasini??nasina mpango wa kurudi pwani ya mashariki(EAST COAST)
 
We acha tuu,uswazi unatoa gharama ndogo lakini huduma yake huwezi ipata ushuani,chipsi kavu tuu,unapata kitu ya ukweli,full gemu,watoto wamefundwa mkoleni,sio na hizo blue prints wanazotumia hao wa kishua,mtoto wa kishua utasikia mara twende movie,ice cream parlour,Nandos mara lady jaydee anapiga zhong hwa garden,wa uswazi hana gharama za kijinga hivyo,kisha baada ya gharama zote hizo gemu unazinguliwa au unapewa as if wewe tuu ndio unashida,yaani hawajui kushiriki gemu,alafu utasikia ooh mara baba anarudi,lakini uswazi hamna hizo huku ni less you pay,more you deserve!!Hamjiulizi kwanini madingi wa kishua wanakuja chukua totozi uswazi?

mbona mpo kama mnakwepa majukumu? mnazungumzia gharama au starehe za reja reja?
 
yaani mkuu we acha tu!
jana tulikaa JAMBO-PUB NA WADAU!dah aliibuka mtoto wa uswazi,nadhani yule anaishi MANZESE-MADIZINI!😀

kama kawaida yake mtoto amekula top ya SAGULA-SAGULA!..chini ana kanga tu.KANGA KWA MAANA YA KANGA!kavaa zake ndala,mzee huyoooooooooooo anakatiza!dah niliinjoi sana

hahah mpwa kama kusingekuwa na walinzi sijui ungelala midizini jana? LOL
 
hahah mpwa kama kusingekuwa na walinzi sijui ungelala midizini jana? LOL
..HEHEHE!mpwa si uliona nilitaka kufanya shambulio,nikakuta wadau wamemzuia!lol

ikabidi nizuge naenda msalani
 
nijibu bac kipenzi? mnalongoa kuhusu gharama au huduma rejareja?...mie chotara! nusu uswazi nusu kimjini....

Unajua raha ya malavidavi, feelings ziwepo siyo? Sasa kama ndo unashughulika na mtoto wa watu huku unawazia magharama unategemea nini? Mtoto wa kishua unatakiwa uwe na japo kalaki kamoja, afu kwakuwa amelelewa na mayai ya kuku wa kienyeji, raundi moja presha inapanda, mijasho kibao! Mtoto wa uswazi buku kumi umemaliza na huduma unapata full swing! Mpaka mwenyewe unakubali yaishe! Mi ndo maana nimeamua kuweka kambi uswazi!

Kujibu swali lako, hapa tunazungumzia vyote. Gharama + Huduma rejareja at a go!
 
sasa hapo tupo sambamba....malavidavi yapo uswahili na ushuani nyie tu na roho zenu, au uchaguzi unaanguia pacpo.....nabaki kusema kuwa mnakwepa gharama na huduma rejareja.
 
sasa hapo tupo sambamba....malavidavi yapo uswahili na ushuani nyie tu na roho zenu, au uchaguzi unaanguia pacpo.....nabaki kusema kuwa mnakwepa gharama na huduma rejareja.

...i wish ningejua watoto wa kishua WANA NINI CHA KUGHARAMIA ambacho mtoto wa uswazi hana!lol

YOTE NI YALE YALE!

watoto wa-kishua wabovu sana kwenye sex!
 
sasa hapo tupo sambamba....malavidavi yapo uswahili na ushuani nyie tu na roho zenu, au uchaguzi unaanguia pacpo.....nabaki kusema kuwa mnakwepa gharama na huduma rejareja.[/QUOTE]

HAPO NDO PANASUHUSU.....
MNATAKA VYA REEEEREEEE TU!!!
 
HAPO NDO PANASUHUSU.....
MNATAKA VYA REEEEREEEE TU!!!

Si umeona! Tumeshaanza kuwajua! Wu mtoto wa ushuani! Huna lolote! Chanini mno nitoe magharama makubwa kwa huduma mbovu! Nyie watoto wa ushuani lazima mkubali kuwa watoto wa uswazi si saizi yenu kwenye mapenzi! Niko tayari kchoma laki mbili kwa ajili ya mtoto wa uswazi kuliko kukaanga elfu hamsini kwa mtoto wa ushuani!
 
Back
Top Bottom