Uswahilini kuna wasichana wazuri sana

Uswahilini kuna wasichana wazuri sana

Si umeona! Tumeshaanza kuwajua! Wu mtoto wa ushuani! Huna lolote! Chanini mno nitoe magharama makubwa kwa huduma mbovu! Nyie watoto wa ushuani lazima mkubali kuwa watoto wa uswazi si saizi yenu kwenye mapenzi! Niko tayari kchoma laki mbili kwa ajili ya mtoto wa uswazi kuliko kukaanga elfu hamsini kwa mtoto wa ushuani!

we mimi point 5 kama naniliu!!!!!! hahaaaa mpwa leo nimekukamata unataka chipu chipu tuuuuuuuuu!!!!!
 
..Hapana mkuu bado, lakini uwezekano huo upo kabisa nitakapoenda tena lazima kieleweke. Ila jamaa ananiambia tatizo lao hao watoto wa uswazi unaweza kukaona kadogo kwa umbo lakini ukatafuta hata ngazi ya kuteremkia!

Du! mkuu umeuwa!
 
Nshahama niko geto na washikaji si nilisema napiga buku hapa kurasini??nasina mpango wa kurudi pwani ya mashariki(EAST COAST)

Okay...but mazee sijaskia ngoma zako mpya au uko busy na skuli kwanza then uturushie ngoma mpya......maana the last time naondoka bongo ngoma yako ya ITIKADI ndo ilikua yatoka.........
 
Okay...but mazee sijaskia ngoma zako mpya au uko busy na skuli kwanza then uturushie ngoma mpya......maana the last time naondoka bongo ngoma yako ya ITIKADI ndo ilikua yatoka.........

Stay tunned. Nashukuru bado unapenda kazi zangu.
 
Halafu mwana umekaa sana bila kuporomosha kitu! Umefulia au? Master J mna bifu au?

Ntatoka mwana unajua shule kimtindo ilikuwa imebanwa na niliumwa na ulcers kidogo sasa niko fit, mazee subirini nitashusha kitu next year kitakuwa usipime. Na mpango wakufanya kolabo na Nonini prod. itafanyikia OGOPA DJS
 
Kila la heri mwana! Kazi yako naikubali kinoma! Usituangushe! Wale washkaji zako maskani bado uko nao?
 
Stay tunned. Nashukuru bado unapenda kazi zangu.

kILA LA KHERI MKUU...MIE NI FAN MKUBWA SANA WA MUSIC...SO NASUBIRI MANGOMA KWA HAMU KUBWA.....NIKIRUDI BONGO TUTAFANYA COLABO...WE UTACHANA MIE NTAIMBA CHORUS......AU VP MAZEE...
 
wapwa mbona mnaongelea habari za totozi tu. mnaonyesha jinsi gani manvvopenda hivyo vitu. mmm...... dunia hii, kesho ataibuka mwingine wazuri wapo sijui wapi.
 
Kila la heri mwana! Kazi yako naikubali kinoma! Usituangushe! Wale washkaji zako maskani bado uko nao?

No! Mwana FA alikuwa anafanya kazi pale NBC sasa yuko UK anapiga post graduate na juzi juzi alikuwa USA na SUGU na ALBINO FLANI(underground huyu) Wakifanya kolabo kwa SUGU na albamu ya ALBINO FLANI.

AY yupo hapa hapa.
 
wapwa mbona mnaongelea habari za totozi tu. mnaonyesha jinsi gani manvvopenda hivyo vitu. mmm...... dunia hii, kesho ataibuka mwingine wazuri wapo sijui wapi.

Mkuu unatutisha wewe unapenda WANAUME
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
 
Haya majeshi yote yahamishiwe USWAZI badala ya geti kali kwenye watoto wa kishua lakini msisahau protection.
 
Mbona Majuto alishakuwa babu siku nyingi? Am your son? Usijali, mahari uswazi ni maneno yako tu, sitakutia gharama sana!

Dudu lilipoingia kwanza ilisemekana linawaathiri mabasha na ******* tu halafu, lilipoingia bongo ikasemekana kwamba ni ugonjwa wa wahaya tu wenyewe waliuita "slim' baadaye lilipoanza kufanya vitu vyake kila kona ya nchi yetu hapo woga ndipo ukaanza kutuingia Watanzania, hivyo hiyo kauli yako ya kwamba USWAZI hakuna mawayawaya haina ukweli maana nawafahamu watu kibao huko USWAZI ambao waligusa mawayawaya na sasa hatunao tena. Simtishi yeyote bali nasema kweli kwamba mkivamia huko USWAZI mkumbuke kutumia protection.
 
Dudu lilipoingia kwanza ilisemekana linawaathiri mabasha na ******* tu halafu, lilipoingia bongo ikasemekana kwamba ni ugonjwa wa wahaya tu wenyewe waliuita "slim' baadaye lilipoanza kufanya vitu vyake kila kona ya nchi yetu hapo woga ndipo ukaanza kutuingia Watanzania, hivyo hiyo kauli yako ya kwamba USWAZI hakuna mawayawaya haina ukweli maana nawafahamu watu kibao huko USWAZI ambao waligusa mawayawaya na sasa hatunao tena. Simtishi yeyote bali nasema kweli kwamba mkivamia huko USWAZI mkumbuke kupiga kavukavu.
Point taken and noted!
 
Naona thread inapata washambuliaji kweli kweli. this shows how USWAZI gals are moving our lower heads so rigidly
Haya twendeni kuchambua mada za nchi yetu wakuu maana nchi inaibiwa na sisi tunagombania madem.

Ila USWAZI gals ni chiboko kweli
 
Back
Top Bottom