Uswahilini kuna wasichana wazuri sana

Naona thread inapata washambuliaji kweli kweli. this shows how USWAZI gals are moving our lower heads so rigidly
Haya twendeni kuchambua mada za nchi yetu wakuu maana nchi inaibiwa na sisi tunagombania madem.

Ila USWAZI gals ni chiboko kweli
hahaaaa, totoz za uswazi uzikute asubuhi zimetoka kuamka ndoo ya maji kichwani, khanga moja mwilini, Loh.
 
Nguli, wasichana wa uswahilini achana nao, bado kidogo niuze nyumba

Inabidi mkuu ni ku PM una hadi nyumba ya kuuza? anyway kuwa makini usiuze mimi kodi ya nyumba yenyewe tabu na huku uswazi rum TZS 12,500.00 si mchezo.
 
Sasa wazazi sisi tunaoishi uswazi na mabinti zetu mnataka kutupatia mtihani wa kutafuta mbinu za ulinzi shirikishi kuwaepusha binti zetu na mafuriko ya wawindaji kutoka kila kona kuja kwetu Mbagala jamani...

Tartibu jamani binti zetu wangali wanasoma na si mnajua nchi hii haina pensheni kwa wazee ambao niwaite wachovu ambao hatukubahatika kuwa na sifa za kuajiriwa?? Watoto wetu ndio pensheni yetu hivyo tunawekeza kila kidogo tupatacho katika ilimu yao. Chonde jamani Mbagala msijeee, mmesikia eeeh??!!
 
Uswazi mbona noma, mi nilikuwa hapo sinza, nikaena ubungo maziwa nikarudi mitaa ya mabibo NIT, yaani kote mitego tupu. Watoto noma, lakini miwaya sasa unatakiwa kuwa makini kweli kweli.

Haukufika nit ndani?
 
vile vikanga wanavyovaa bila chupi ndani unafanya mzigo utikisike balaa na vitop bila bra mpaka unahisi chuchu itatoboa top.......tatizo ni kama vi housegirl,vina high affinity ya kushika mimba lol
 
attachment.php

Prof: "naunga mkono hoja! mia kwa mia!"
 
Daaah Mtoa mada nakuunga mkono yaani uswahili kuna watoto wazuri tena wenye uzuri wa asili ila tatizo lao nalo ni mizinga mingi ndio maana tunawakimbia lakini ni wazuri na mafundi hasa wa mapenzi, uzunguni huku kwa vibopa ni swaga tuu za kuongea kiingereza na kuitana baby ila sura kama za baba zao tuu wengi unakuta ni shape less ukimuita mtoke atakutia hasara weee ukienda kupemzika hamna lolote yaliyomo hayamo kabisaaaaaaaa
 
Jamani uswahilini kumebarikiwa wasichana wazuri sana, japo wengi wao maisha ni ya kati hawana fedha za kununua nguo za bei gali na kwenda na fasheni bado wako juu. Kwa ndugu zangu ambao hamjaoa uswahilini is the best place to be.

Rafiki yangu aliniambiaga "misichana mzuri utamjua wakati wa kuamka na sio jioni akiwa amejipodoa" kwa wale wenzangu na mimi tunaokaa uswazi mtakubaliana na mimi asubuhi wakiwa wanaamka wanapigaga kanga moja tu na kuna vishuguli vya hapa na pale unakuta wanafanya kama kuchota maji kuandaa wadogo zao au watoto wao kwenda shule nk. Wanaoneka wazuri na wanamaumbile mazuri sana.Rangi ndio usisema ukikatiza kinondoni ndani- ndani utakuta watoto kama wakifilipino/kivenezuela nywele mpaka mgongoni jicho-jicho.

Hawana makuu mizinga hata kama ipo ni sh. 10,000 maximum. Hawana pozi ni waongeaji wazuri na wakarimu. Watoto wa kishua wameaachwa mbali sana na hawa dada zangu wa USWAZI.

Umesema kweli ila wengi wao vicheche sanaaa. Unakuta kawapanga mko kama 15 hv....akipiga vizinga vya atleast buku 5 kila mmoja per week= 75,000 Tsh. Kwa mwezi ana 300,000 Tsh + Kibarua chake (60,000 Tsh kwa mwezi) unakuta life linakwenda bien kabisa. Alaf miwaya pande hzo ina enea kwa kasi sana. Utasema hawana vizinga vikubwa....ila ujue mko wengi ndugu. (Mjini hapa !!)
 
Jamani uswahilini kumebarikiwa wasichana wazuri sana, japo wengi wao maisha ni ya kati hawana fedha za kununua nguo za bei gali na kwenda na fasheni bado wako juu. Kwa ndugu zangu ambao hamjaoa uswahilini is the best place to be.

Rafiki yangu aliniambiaga "misichana mzuri utamjua wakati wa kuamka na sio jioni akiwa amejipodoa" kwa wale wenzangu na mimi tunaokaa uswazi mtakubaliana na mimi asubuhi wakiwa wanaamka wanapigaga kanga moja tu na kuna vishuguli vya hapa na pale unakuta wanafanya kama kuchota maji kuandaa wadogo zao au watoto wao kwenda shule nk. Wanaoneka wazuri na wanamaumbile mazuri sana.Rangi ndio usisema ukikatiza kinondoni ndani- ndani utakuta watoto kama wakifilipino/kivenezuela nywele mpaka mgongoni jicho-jicho.

Hawana makuu mizinga hata kama ipo ni sh. 10,000 maximum. Hawana pozi ni waongeaji wazuri na wakarimu. Watoto wa kishua wameaachwa mbali sana na hawa dada zangu wa USWAZI.

Uswahilini bwana kumekucha....kama unataka mke wa kuoa ama demu wa kuwa girl friend usiende samaki samaki ama viwanja vya hajabu kwani kule utakutana na vituko ama nduguze Ufooo. Jitulize na nenda zako mitaa ya Manzese, Mbagala, ama sehemu yeyote ile uswahili....huko utakutana na malaika mpaka utatukana mademu wote wanaojiita majina ya hajabu hapa mjini ili tu waandikwe magazetini. Kwa wale ambao wanatafuta mademu wa kiuhakika, please do not waste your time kwenda viwanja ama madisko kwani mademu walio wengi huko wame-expire kwa kutumiwa tu na wengine kisha kutelekezwa na wao wanarudi pale pale kutafuta wanaume wengine ili walambe bingo. Nendeni uswahili mtakuja sumulia hapa.
 
Mambo ipo Magomeni yoote, Kwamtogole-Sinza kijiweni, kinondoni Studio-Kwa mama Zakaria, Tandika yooote na Mtoni yoote kuelekea Mbagala, ile Yombo, jet, vingunhuti, buguruni kwa Mnyamani, halafu kigogo-mburahati mpaka kutokea Loyola pasipo kusahau Gomz (Gongo la Mboto), hata kule Kinondoni ya Hananasif kuleee chini kabiss.....mmmmh!!
 
Huko kooote ulikokutaja hao mademu hawana mwenyewe??? Ni mabikra au??
 
Uswahilini bwana kumekucha....kama unataka mke wa kuoa ama demu wa kuwa girl friend usiende samaki samaki ama viwanja vya hajabu kwani kule utakutana na vituko ama nduguze Ufooo. Jitulize na nenda zako mitaa ya Manzese, Mbagala, ama sehemu yeyote ile uswahili....huko utakutana na malaika mpaka utatukana mademu wote wanaojiita majina ya hajabu hapa mjini ili tu waandikwe magazetini. Kwa wale ambao wanatafuta mademu wa kiuhakika, please do not waste your time kwenda viwanja ama madisko kwani mademu walio wengi huko wame-expire kwa kutumiwa tu na wengine kisha kutelekezwa na wao wanarudi pale pale kutafuta wanaume wengine ili walambe bingo. Nendeni uswahili mtakuja sumulia hapa.

daa!ndugu umesahau mitaa ya kimbiji,geza juu,gezaulole,tua moyo,tungi,mjimwema,ungindoni,vijibweni,mitaa yote hii imebarikiwa jamani,i swear,niwatamu sana kula kwa macho tu,unaridhika,hakuna mbaya kila unayepishana nae hana kasoro,watoto wanatupia kanga,kweli wamefundwa,hawakai kezembe then wapo cheap,ila si kivile.Nashauri kama unataka mke wakukaa naye maishani,tembelea mitaa yakwetu.KARIBUNI SANA.
 
Wapo wasichana wazuri ila tabia na ustaarabu zero plus mikorogo.
 
Back
Top Bottom