Uswahilini kuna wasichana wazuri sana

Jamani uswahilini kumebarikiwa wasichana wazuri sana, japo wengi wao maisha ni ya kati hawana fedha za kununua nguo za bei gali na kwenda na fasheni bado wako juu. Kwa ndugu zangu ambao hamjaoa uswahilini is the best place to be.

Rafiki yangu aliniambiaga "misichana mzuri utamjua wakati wa kuamka na sio jioni akiwa amejipodoa" kwa wale wenzangu na mimi tunaokaa uswazi mtakubaliana na mimi asubuhi wakiwa wanaamka wanapigaga kanga moja tu na kuna vishuguli vya hapa na pale unakuta wanafanya kama kuchota maji kuandaa wadogo zao au watoto wao kwenda shule nk. Wanaoneka wazuri na wanamaumbile mazuri sana.Rangi ndio usisema ukikatiza kinondoni ndani- ndani utakuta watoto kama wakifilipino/kivenezuela nywele mpaka mgongoni jicho-jicho.

Hawana makuu mizinga hata kama ipo ni sh. 10,000 maximum. Hawana pozi ni waongeaji wazuri na wakarimu. Watoto wa kishua wameaachwa mbali sana na hawa dada zangu wa USWAZI.
Good research,nenda mitaa ya oysterbay,masaki na kwingineko ushuani,ukikuta mrembo ujue ni mfanyakazi wa ndani,kinachowaokoa hao wa ushuani ni pozi zao za kuongea kidhungu na make ups wanazotumia,still hawapendezi,alafu hata gemu wakishua ni zero,ukioa mtoto wa uswazi faida tupu,pia wanajua mapishi,wakishua washazoea pikiwa!!
 
watoto wa uswazi watamu bwana!
UNAWAHONGA KILO MOJA YA MCHELE anaenda kula na wazazi!we unapona mwezi mzima:D
 
Hahaha! Karibuni Uswazi basi jamaniiiiii!
Watoto wa uswazi wanalipa sana mpwaaz!shopping unaenda nae KARUME au BIGI-BRADHA,au mnasikilizia ubungo vitop vya kurushwa kwa mnada vile!....sehemu zote hizo kitopu ni mia tano,suruali hawapendelei(JOTO)!bukta na vipedo,kwa juu wanafunikia na kanga!

watoto wa kishua shopping zao NI MSIBA!....
 
Hahaha! Umesahau na buti zao ni kandambili! Ukimnunulia Mafuta ya kujipaka ya kunukia basi umemaliza na bajeti ya pafyumu. Wao hawana gharama za sijui cheni za dhahabu, wao shanga za mmasai KWISHNEI!
 
smile4.gif
icon10.gif
ha ha ha ha,...mr price pedo ni 120,000
 
uswazi raha bwana!........
 
smile4.gif
icon10.gif
ha ha ha ha,...mr price pedo ni 120,000
sasa hiyo dola 115,ni bajeti ya mtoto wa uswazi ya miaka miwili!...

yani watoto wa kishua mimi nawahurumia!wamepata changamoto kubwa sana kwenye soko la MA-BWANA!......kizazi cha uswazi kitawapoteza kwenye ramani.
 
watoto wa uswazi watamu bwana!
UNAWAHONGA KILO MOJA YA MCHELE anaenda kula na wazazi!we unapona mwezi mzima:D
We acha tuu,uswazi unatoa gharama ndogo lakini huduma yake huwezi ipata ushuani,chipsi kavu tuu,unapata kitu ya ukweli,full gemu,watoto wamefundwa mkoleni,sio na hizo blue prints wanazotumia hao wa kishua,mtoto wa kishua utasikia mara twende movie,ice cream parlour,Nandos mara lady jaydee anapiga zhong hwa garden,wa uswazi hana gharama za kijinga hivyo,kisha baada ya gharama zote hizo gemu unazinguliwa au unapewa as if wewe tuu ndio unashida,yaani hawajui kushiriki gemu,alafu utasikia ooh mara baba anarudi,lakini uswazi hamna hizo huku ni less you pay,more you deserve!!Hamjiulizi kwanini madingi wa kishua wanakuja chukua totozi uswazi?
 
Hahaha! Uswazi ukipita mchiriku mabinti wanajimwayamwaya, burudani ya mwezi tayari! Gharama zao kubwa labda ije taarab. Atakwambia "kuna taarab hapo kwa mama zakaria, kiingilia 2000. Asa mi na afu mia tano. Naomba niongezee alfu nijazilizie na nyingine ninywe soda!" Ukimpa buku mbili utasikia "Ai sasa ntapata wapi chenchi jamani?" Ukimwambia chukua yote, una garantii ya natural penzi la wiki mbili! USWAZI is ZEA to STAY!
 
Jamani uswahilini kumebarikiwa wasichana wazuri sana, japo wengi wao maisha ni ya kati hawana fedha za kununua nguo za bei gali na kwenda na fasheni bado wako juu. Kwa ndugu zangu ambao hamjaoa uswahilini is the best place to be.

Rafiki yangu aliniambiaga "misichana mzuri utamjua wakati wa kuamka na sio jioni akiwa amejipodoa" kwa wale wenzangu na mimi tunaokaa uswazi mtakubaliana na mimi asubuhi wakiwa wanaamka wanapigaga kanga moja tu na kuna vishuguli vya hapa na pale unakuta wanafanya kama kuchota maji kuandaa wadogo zao au watoto wao kwenda shule nk. Wanaoneka wazuri na wanamaumbile mazuri sana.Rangi ndio usisema ukikatiza kinondoni ndani- ndani utakuta watoto kama wakifilipino/kivenezuela nywele mpaka mgongoni jicho-jicho.

Hawana makuu mizinga hata kama ipo ni sh. 10,000 maximum. Hawana pozi ni waongeaji wazuri na wakarimu. Watoto wa kishua wameaachwa mbali sana na hawa dada zangu wa USWAZI.

Nenda Tandare, Magomeni makuti, Mabibo, Mansese na Buguruni utawakuta kibao, wanavaa kanga moja tu mabega wazi wanapunga upepo pale vibarazani kwao.
 
Back
Top Bottom