Ochumeraa
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 4,507
- 5,740
Ukiwafuata wanakuambiaje? Sasa wanakaa na passport muda wote huo kweliS
Sijapata bado na passport yangu bado wanayo
Ukiwafuata wanakuambiaje? Sasa wanakaa na passport muda wote huo kweliS
Sijapata bado na passport yangu bado wanayo
Hahaha watz kwa majungu hatujambo?Haa mzee wa fix ulipotea kwenye anga za kupiga fix zako za majuu
Visa ya Canada ,USA,uk,Ni hatari Ila Mimi nilivyo na Schengen visa yangu kuzipata hizo visa Ni fasta tuUsiombe kuomba visa ya Canada mbona utakoma[emoji134]
Haa haa. Bwana luambo makiadi unanichekesha sana. Nakufananisha na jamaa mmoja mchaga alikuwa mtu wa matani na mchekeshaji sana. Anaweza kukuhadithia habari za sehemu utafikiri amefika kumbe ameokotoza hapa na pale mpaka akajua abc za sehemu husika. Kwa fix nakupa degree! Wewe unaona una deal na Schengen area utafikiri uliwahi kufika!Ar einer verruct?
Kwahiyo hoja Yako hapa ni ipi mkuu?Haa haa. Bwana luambo makiadi unanichekesha sana. Nakufananisha na jamaa mmoja mchaga alikuwa mtu wa matani na mchekeshaji sana. Anaweza kukuhadithia habari za sehemu utafikiri amefika kumbe ameokotoza hapa na pale mpaka akajua abc za sehemu husika. Kwa fix nakupa degree! Wewe unaona una deal na Schengen area utafikiri uliwahi kufika!
Hoja yangu ni kukupongeza jinsi unavyoweza kulisha watu matango pori bila kukushtukiaKwahiyo hoja Yako hapa ni ipi mkuu?
Hahaha watz bhanaHoja yangu ni kukupongeza jinsi unavyoweza kulisha watu matango pori bila kukushtukia
Dar. Najifunza kijerumani kupitia app ya duolingo ila bado sijawa vizuri sanaWohin ar euch?
Wananiambia nisubiri eti file langu limetumwa belgium aiseee yani wanifanya nidate kabisaUkiwafuata wanakuambiaje? Sasa wanakaa na passport muda wote huo kweli
Wazo zuri sana aisee was ipo nipa inabidi nitafute mbinu nyingineUsumbufu siyo kwa Ubalozi wa Italy tuu hata nchi chache nyingine za EU!, haswa west EU countries na zaidi ukiwa na safari binasi na hufanyii kwenye mashirika yao huwa ni usumbufu sana
Ukitaka Visa ya kuingia EU kiraisi safari binafsi kutokea hapa TZ. we Kata visa unaenda zile nchi za east kama Romani,Bulgaria , ukifika kule utaungia nchi nyingine kiraisi .
Ni kigumu mno mkuuDar. Najifunza kijerumani kupitia app ya duolingo ila bado sijawa vizuri sana
Ni kweli mkuu,mm sikupata usumbufu wowote visa yangu ilichukua wiki mbili tu nilikuwa na barua yao ya mwaliko Niko na shirika la wajerumaniUsumbufu siyo kwa Ubalozi wa Italy tuu hata nchi chache nyingine za EU!, haswa west EU countries na zaidi ukiwa na safari binasi na hufanyii kwenye mashirika yao huwa ni usumbufu sana
Ukitaka Visa ya kuingia EU kiraisi safari binafsi kutokea hapa TZ. we Kata visa unaenda zile nchi za east kama Romani,Bulgaria , ukifika kule utaungia nchi nyingine kiraisi .
Haswa kwenye german "r" inawasumbua wengi. Mi ndugu yangu yupo Frankfurt huko. Ila kwa mimi ninahitaji kupiga Masters huku napiga mzigo ila kuna pesa inahitajika niweke kwenye akaunti yangu kuonesha kama naweza kujikimu nikiwa huko.Ni kigumu mno mkuu
Mm mwenyewe sija ki master Ila nikigumu mno mno angalau kifaransa Ni kirahisi kimtindo
Nipo jijin cologne mkuu
Kweli wewe ni mzee wa fix sijawahi kuona kijarumani kikiwa kigumuNi kigumu mno mkuu
Mm mwenyewe sija ki master Ila nikigumu mno mno angalau kifaransa Ni kirahisi kimtindo
Nipo jijin cologne mkuu