Hiyo picha ya Slaa hao walinzi wake wanafanana na Mafia Mob (La Costa Nostra) guards.Wana ishara ya shari.Kwanza mavazi yenyewe siyo anayovaa bodyguard,pili katika nchi ya kitropic yenye joto na jua kali namna hii mavazi haya yanawatia karaha.Hii ni dalili ya kutokujiamini.Sasa wakijaaliwa kushika mamlaka itakuwaje?Pili,tuangalie mikutano yao ya hadhara ya CHADEMA: Asilimia kubwa ya viongozi wanatumia nguvu nyingi sana kuzungumza.Calories zinapotea sana hata kwa jambo la kawaida tu...hii nayo ni ishara mbaya katika uongozi.Kiongozi anatoka jasho jingi jukwaani(rafiki yangu Mbowe).naomba wajaribu kuwa wazungumzaji wa wastani watasikiwa tu...message zitafika.
Wewe ndyo umekanyagwa

Mbona unatumia nguvu kuandika?
Wewe na wenzako ni waongo. Mi najua Dr Slaa angeshinda, pamoja na kuwa mimi ni ccm