Nilirudi lakini nilienda tena , nalima mpunga MakwalePot dada yako ndo kapitishwa hivyo... endelea kumwombea atekeleze vizuri majukumu yake....vipi ulirudi kutoka ipinda........
Weee !!! sema kweli ?Mkuu mgonjwa wa akili huwa hajijui.
Milembe inakuhusu.
Huyu anakwenda kuwatimua wale covid 19 wenu kule bungeni.Kwa vile huyu Dada yangu ameteuliwa na CCM yenye wabunge wote ndani ya Bunge la Tanzania basi bila shaka huyu ndiye Spika ajaye.
Hakuna Jimbo lolote lililowahi kutoa Spika na likapata maendeleo, fanyeni utafiti mdogo ili mjikumbushe, hii inatokana na ukweli kwamba Spika wa bunge la Tanzania ndio muhuri wa kupitisha uchafu wote wa serikali zikiwemo hata bajeti zilizooza, maspika wengi wa nchi hii wanaogopa kupigania maendeleo ya kwao ili kutoonekana wana upendeleo, angalia Ukerewe ya Msekwa ama Kongwa ya Ndugai.
Ndugu zangu wa Mbeya wakati wa maumivu Makubwa umefika rasmi, jiandaeni.
Hawezi kutimua wabunge wa ccmHuyu anakwenda kuwatimua wale covid 19 wenu kule bungeni.
Sawa pot wasalimie ndugu zangu wa ngyekye... matemaNilirudi lakini nilienda tena , nalima mpunga Makwale
Vipi kuhusu Iringa ( chief Adam sapi mkwawa na baadae nduguye)Kwa vile huyu Dada yangu ameteuliwa na CCM yenye wabunge wote ndani ya Bunge la Tanzania basi bila shaka huyu ndiye Spika ajaye.
Hakuna Jimbo lolote lililowahi kutoa Spika na likapata maendeleo, fanyeni utafiti mdogo ili mjikumbushe, hii inatokana na ukweli kwamba Spika wa bunge la Tanzania ndio muhuri wa kupitisha uchafu wote wa serikali zikiwemo hata bajeti zilizooza, maspika wengi wa nchi hii wanaogopa kupigania maendeleo ya kwao ili kutoonekana wana upendeleo, angalia Ukerewe ya Msekwa ama Kongwa ya Ndugai.
Ndugu zangu wa Mbeya wakati wa maumivu Makubwa umefika rasmi, jiandaeni.
Ukiwa na mawazo ya kinyumbu hivi ni hasara kwa maisha yako. Mbeya jiji Lina pilika nyingi na watu wako busy kwenye utafutaji wa riziki za Kila sikuKwa vile huyu Dada yangu ameteuliwa na CCM yenye wabunge wote ndani ya Bunge la Tanzania basi bila shaka huyu ndiye Spika ajaye.
Hakuna Jimbo lolote lililowahi kutoa Spika na likapata maendeleo, fanyeni utafiti mdogo ili mjikumbushe, hii inatokana na ukweli kwamba Spika wa bunge la Tanzania ndio muhuri wa kupitisha uchafu wote wa serikali zikiwemo hata bajeti zilizooza, maspika wengi wa nchi hii wanaogopa kupigania maendeleo ya kwao ili kutoonekana wana upendeleo, angalia Ukerewe ya Msekwa ama Kongwa ya Ndugai.
Ndugu zangu wa Mbeya wakati wa maumivu Makubwa umefika rasmi, jiandaeni.
Hakuna wanalotaka kutoka. Acha kuwalazimisha watu waishi unavyotaka wewe. Kwani wasipokiwa na hiyo barabara wanakufa?Hizo sehemu nyingine walipata Spika lakini hawakupata maendeleo. Labda mjiulize walipokosea, na msifanye hayo makosa.
Yule akaenda kujenga ofisi kijijini kwao!!! Pengine wananchi wake hawakumuambia wanataka nini, akafikiri wanataka ofisi!! Watu wa Mbeya mnataka nini?
Barabara gani?Hakuna wanalotaka kutoka. Acha kuwalazimisha watu waishi unavyotaka wewe. Kwani wasipokiwa na hiyo barabara wanakufa?
Hata hku kwetu kasikazi bwam shemeji wnalalamika kuwa n wabinafsi sijui eneo gani siyo wabinafsi wasukuma tuKatika wabunge wa mbeya sugu alisimamia miradi mingi vizuri .waulize mwakyembe kyela yeye ni kujisifia tu degree zake.akiwa waziri alishindwa hata kuleta kituo cha michezo mbeya.shida viongozi wengi wa mbeya wabinafsi sana ndo maana jiji la ovyo.mbeya watu wengi ni wabinafsi sana
Bora kaskazini wanapeleka maendeleo kwao huku hiyo haipo kwa mbeya ubinafsi upo kuanzia ngazi za familiaHata hku kwetu kasikazi bwam shemeji wnalalamika kuwa n wabinafsi sijui eneo gani siyo wabinafsi wasukuma tu
Ulivyomtaja Mwakyembe nimebubujikwa na machozi kwa hasiraKatika wabunge wa mbeya sugu alisimamia miradi mingi vizuri .waulize mwakyembe kyela yeye ni kujisifia tu degree zake.akiwa waziri alishindwa hata kuleta kituo cha michezo mbeya.shida viongozi wengi wa mbeya wabinafsi sana ndo maana jiji la ovyo.mbeya watu wengi ni wabinafsi sana
Tumeambiwa mwaka ujai wa fedha tutapewaHivi ujenzi wa barabara nne au hata mbili kutoka uyole mpaka mbalizi uliishia wapi? hivi kwa ukuaji wa jiji la Mbeya hao waheshimiwa kinachowashinda ninini?jiji kabarabara ka njia moja inashindwa hata na baadhi ya mikoa ambayo sio jiji, shame!
Huyo binti ndo trainer wa ubinafsi Kazi ni kwetu wa mamajoni,Ilomba,Uyole,Since,mwakibete,Majengi na kwa kuamua kutuletea mamluki huyoUlivyomtaja Mwakyembe nimebubujikwa na machozi kwa hasira
NI UJINGA KUFANANISHA UONGOZI WA MTU MMOJA NA MWINGINE HIYO NI ROHO YAKO TU ILIVYO MBAYA NA WIVU WA HUYO SUGU WENU KULIKOSA JIMBO KWANZA SUGU ALIIFANYIA NINI MBEYA MJINI ALIKUWA NA LIPI ALILOWAFANYIA WANAMBEYA? YAANI HATA MFANYE NINI JIMBO HALITAKAA LIRUDI TENA KWA HUYO MHUNI SASA MNACHOTAKIWA KUKAA KUANGALIA MAENDELEO YA MBEYA MJINI YATAKAVYOKUJA KWA KASI MPAKA WATASEMA WALICHELEWESHWA SANA NA HUYU MHINI WA CHADEMAKwa vile huyu Dada yangu ameteuliwa na CCM yenye wabunge wote ndani ya Bunge la Tanzania basi bila shaka huyu ndiye Spika ajaye.