Usomaji Wa Majira ya Saa.....Ni kumezeshwa..

Usomaji Wa Majira ya Saa.....Ni kumezeshwa..

kakamukubwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
203
Reaction score
27
Jamani hodi hodi..? Leo napenda mnieleweshe kwani Usomaji wa Majira ya Saa kwa ki inglish uko hivi..
Saa 1:00 asubuh
English ni 7 :00 am

Saa 2:00 Asbh
Englsh ni 8:00 am

Huu ukaririshwaji aliuleta nani? wa saa 1 kiswahili,7 kiobama.
 
wajenzi huru at work,
7 = 1
7 - 1 = 6
8 = 2
8 - 2 = 6
9 = 3
9 - 3 = 6
10 = 4
10 - 4 = 6
11 = 5
11 - 5 = 6
12 = 6
12 - 6 = 6
endelea kwa kutumia masaa 24 jibu bdo litakuwa 6 kwa kila saa.
TAFAKARI CHUKUA HATUA!!!!!
 
Siku inaanza saa ngapi kwa mtazamo wako? Na kuna masaa mangapi katika siku kwa muono wako? Kama inaanza saa moja asubuhi, baada ya saa 12 jioni inafuata saa ngapi?
 
Siku inaanza saa ngapi kwa mtazamo wako? Na kuna masaa mangapi katika siku kwa muono wako? Kama inaanza saa moja asubuhi, baada ya saa 12 jioni inafuata saa ngapi?

Inakuwa saa 1 asubuh kiswahl,
7 kwa ki english
 
wajenzi huru at work,
7 = 1
7 - 1 = 6
8 = 2
8 - 2 = 6
9 = 3
9 - 3 = 6
10 = 4
10 - 4 = 6
11 = 5
11 - 5 = 6
12 = 6
12 - 6 = 6
endelea kwa kutumia masaa 24 jibu bdo litakuwa 6 kwa kila saa.
TAFAKARI CHUKUA HATUA!!!!!

Haya ya freemason achana nayo
 
Back
Top Bottom