Leo nilikuwa na mizunguko mjini, na nilikuwa na kazi iliyohitaji niifanyie ndani ya internet cafe. Baada ya kumaliza kazi ile ilibidi niingie JF kujua nini kimejiri. Kwa kuwa internet cafe ile haikuwa na privacy jamaa aliyekuwa kompyuta ya jirani alikuwa akifuatilia nilichokuwa nafanya. Baada ya kulog in, alionekana kushangaa sana.........
"Wewe ndio Katavi"?? Mbona kijana sana", kabla sijaendeleza mazungumzo TANESCO wakachukua chao, nikasepa bila ya kuondeleza mazungumzo, sijui ni nani yule!!!
Ulipotelea wapi?Ndio umeamua kunianika sio,poa bana..!
Lady ??? lolYou are very lucky.
Kanunue ticket ya bahati nasibu na ujuwe una uhakika wa kujinyakulia zawadi nono. Lady luck is smiling at you.
Sio kuwa umeme ulinizuia ila dah!! Yule jamaa alivyoshangaa hadi watu wote wakageuka kuangalia. Umeme ulipokatika aligeuka kidogo nami nikatumia upenyo huo kuondoka...Katavi umenichekesha, sasa umeme ulikuzuia nini kumjibu? Yeye mzee sana?
Labda kilichomshangaza ni huo ujana wako lol... Jamaa alidhani Katavi ni kibabuuu!Sio kuwa umeme ulinizuia ila dah!! Yule jamaa alivyoshangaa hadi watu wote wakageuka kuangalia. Umeme ulipokatika aligeuka kidogo nami nikatumia upenyo huo kuondoka...
Katavi nimekuja fasta nikijua kuwa utakuwa umeweka picha...lol
naogopa kukoment chochote usije ukanianika hapa!!!Mkaka, sio wewe kweli....
Kumbe ulikuwa una hamu ya kunijua eeh?
Ngoja nimwambie next time atumie simu yake kufotoa..Hahahahahaha lol
Ingependeza sana lol