ilisha juniour
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 714
- 220
Hyo ni safi sana,jukwaa litumiwe vizuri kwa maslah ya kila mtu!,tupendane,tuheshimiane na kujaliana kama ndugu wa baba mmoja!
Yale yale, unajifanya hamnazo kumbe in actual life ni mtu na heshima zake!! Niliposema wazuri ni pamoja na kujitambua, muonekano nadhifu, nidhamu na yote yahusuyo uzuri!!
Na hili la kujumuisha kuwa wote humu JF ni wazuri ni wewe tu na mtizamo wako na wala sikukatazi kuwaza hivyo lakini ukichanganua vizuri hiyo sentensi na maana nzima ya uzi huu utanielewa kivingine!!
Shangaa... Wengine tukiamua kuweka avatar na ID zinazofanana na sura zetu, thread zetu zisingepata wachangiaje aisee!!!
Afu wewe hebu nipe namba ya Ben 10 nimpe hi niko hapa SAUT!!!!
kwani ni siri si alianzisha uzi kaonana na mdada wa JF
unadandia daladala kwa mbele lol.....:smile-big:Nilidhani mambo ya inbox.
Pamoja na kudandia gari kwa mbele,lakini mbona waliowahi kueleza wamekutana na mwana MMU ni wengi,kwa nini una-figure mtu mmoja kati ya wengi?unadandia daladala kwa mbele lol.....:smile-big:
Kuna wanaume na wavulana kama ilivyo wanawake na wasichana...
Nimeshamfahamu.
Hayo yote umeyajuaje wakat hujawah hata kuonana nao?
Ohoooo!!!! Ndo mana sikutaja mtu kama unahisi ulilolifanya ni sahihi its ok but ni vema ukaangalia contents nyingine za uzi mzima na ndo maana UFIKIRI halisi na si kutafuta majina ya watu!!
Yaani sipati picha ukiweka reality yako humu.. Utakuwa maarufu mara laki nane
mkuu wanawake ama wadada wengi walio jf wanajitambua!
kuna mmoja nilikutana nae kwenye gari akiwa anatokea mnazi mmoja hivi anaelekea mitaa fulani ya mabibo hostel (tulipanda gari moja japo hakujua na mie ni mwana j,), for sure alikuwa ni mtu mwelewa sana pale alipomuokoa mzee fulani hivi asiibiwe pesa yake kama shs laki moja hivi!
mzee huyo alikuwa ameziweka zile pesa kwenye mfuko wa nyuma, basi zile pesa zooote zilikuwa zinaonekana!!! kiasi kwamba zilikuwa ni za ku-chop tu kwa vidole viwili!
she really impressed me though i didnt want to introduce myself so much to her!
We jamaa, hebu acha kufikiria maneno na ufikirie maana!!! Labda nikufafanulie maana naona mawazo yako yapo mnururisho tu na hayataki kuwaza kwa mapana!! Niliposema 'JF kuna wanawake wazuri' hiyo ni sifa, nikiwa na maana kwamba tunalumbana, tunajadiliana humu na watu tusiofahamiana. Hivyo anaweza kuwa mbaya au mzuri ingawa hatufahamu, lakini mimi nimekutana na binti ambaye kwa mtizamo wangu ni mzuri na yuko tofauti na yale anayoyajadili mara kwa mara humu!!
Niliposema hivyo ni kiwakilishi kwa wengine kwamba, pamoja na yote yanayoendelea humu kunao wazuri pia!! Mfano mzuri ni kama vile Obama aliposema Watanzania ni wakarimu sana, kwani kahudumiwa na Watanzania wangapi mpaka afikie kujumuisha Watanzania wote kuwa ni wakarimu???
Naamini nimekutoa kwenye boksi sasa??
cc: charminglady
umeibiwa wewe,huyo ni kic..........,anazuga tuu kwako tushapita hapo long tima.Nakushauri ukapime mapema