Uso kwa uso na miss chagga

Uso kwa uso na miss chagga

Jamani wadau, ni kweli ndiye mwenyewe huyu au kichwa cha habari hakiendani na picha? Maana nimemuona mdada kama huyu huyu mjini hapa punde tu hivi!

Bahati mbaya ningekuwa na uhakika ningemsalimia!
jamani speedcom mbona hukunisalimia jamani .... ningefurahi kukuona
 
Last edited by a moderator:
Jamani wadau, ni kweli ndiye mwenyewe huyu au kichwa cha habari hakiendani na picha? Maana nimemuona mdada kama huyu huyu mjini hapa punde tu hivi!

Bahati mbaya ningekuwa na uhakika ningemsalimia!

Duniani wawili wawili japo siku hizi ni zaidi ya wanne wanne
 
anafaaka sana kwa kiss
Una mawazo kama nlokuwa nayo Safety last.Kabla ya kumpiga picha nilimsogelea kumbusu. Lo! mtoto mkali!Alikisukumia mbali kichwa changu na kutamka maneno fulani ya kichagga ambayo siyakumbuki.
 
Last edited by a moderator:
Ilikuwa Jumamosi tarehe 9/8/2014 natoka zangu KCMC kumwona jirani yangu aliyelazwa hapo.Nikiwa naelekea kwenye parking ya magari hamad! nakutana na miss chagga. Mara moja kamera yangu ikaingia kazini. Hebu licheki hapa toto la Kichagga.

View attachment 177016

Yaani ndiyo huyu? Kwa kweli niko very dissapointed, eti ana kitambi...kwa kweli demu wa kitambi (si mimba) anidindishi.
 
Back
Top Bottom