Uso kwa uso na miss chagga

Uso kwa uso na miss chagga

Si nilikuambia lakini miss chagga, kwamba ntaiweka picha yako kwenye jukwaa la Jamii Photos? Kumbe uliona nakutania eh? Kwa uzuri unao aisee hasa hiyo soft skin na huo mwanya.Vipi, mgonjwa wako keshafanyiwa operesheni? Mpe pole sana.

Tayari na yupo home tunakunywa bia
 
Last edited by a moderator:
attachment.php

Nilikuwa najitahidi kutafuta kovu lilipo, kila ninapoangalia hola, hata kipele hamna
 
Nukikosea huwa nachapwa na hela noti tu lakin
Aha, ndio maana sijaona hata kamkwaruzo ka bahati mbaya.

Pamoja na viganja vya mikono umevificha bado inaonekana hata alama za kuungua na mafuta ya kupikia, au mafuta yanayochuruzika kwa oven hayajakugusa kabisa, sijaona dalilil za kubabuka hata tone moja, inaelekea tabu za jikoni huzitaki kabisa, eti kweli?
 
Napika lakini nakuwa mwangalifu
 
Huyo Miss Chagga ulikutana parking au gest au Photo shop sababu hiyo picha ipo ki 360 zaidi sina uhakika kama KCMC photo shop ipo karibu labda mlikuja mpk mjini.
 
Back
Top Bottom