Usiyoyajua kuhusu Papa

Nguru ni kingfish sio wakubwa kama papa ila wana minofu
 
Hivi mnamuongelea papa au nyangumi?
 
Hapa umechanganya madesa wana uzito kati ya kilo 600 hadi 2000 hii ni tani 2 sio 20..

Nimekumbuka movie ya USS Indianapolis.
Papa wapo wa aina tofauti tofauti, yupo anayefikia uzito huo, anaitwa Whale Shark , ndio jamii ya papa wanaokula mimea bahari(plankton) na kufanya filter feeding kama Nyangumi.

Na kwa nchi yetu hii, Tanzania, whale sharks wanapatikana kwa wingi huko kisiwa cha Mafia.
 
At first, I thought the thread is about pope Francis🤣

Jamani ni samaki papa.

Thanks for sharing this
 
Dah tani 20 uyo papa wa aina gani, papa hasa wanaenda adi tani 4-5,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…