ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,657
- 57,052
1. Samaki huyu ni mkubwa kuliko wote ikumbukwe nyangumi sio samaki ni mamalia...sasa huyu papa yeye ana urefu wa futi 18-32.8 yaani wengine wana kuwa na urefu wa mita sita ila spishi nyingine wadogo kabisa hata cm 50 hawafiki.
2. Ana uzito wa wastani tani 20.6; kiuhalisia Papa analingana na Daladala!
3. Papa ana uwezo wa kuishi miaka 70 akiwa chini ya uangalizi wa binadamu.
4. Papa tofauti na samaki wengine wakubwa yeye hula dagaa na vimelea ambao huingia mdomoni mwake na kuchujwa.
5. Papa hupatikana katika nchi zenye hali ya hewa ya kitropiki kama vile Australia, Ufilipino, Msumbiji, Eucador, Indonesia na Tanzania. Kwa Tanzania papa hupatikana sana katika kisiwa cha Mafia, katika Pwani ya Magharibi kati ya Kilindini na rasi Mbisi.
6. Papa ana uwezo wa kusafiri hadi kilomita 10,000 na speed yake ni kilometers 50 kwa saa.
7. Papa anaona windo hata likiwa mbali sana akikukuta unaogelea anakukata vipande viwili kwa lile dude lake mgongoni kama panga anaenda akirudi anakula kipande kimoja anaenda anageuza anakirudia cha pili..papa anaogopa dolphin wakiwa wengi.
8. Papa huwa na meno mengi yanayoendelea kukua muda wote wa maisha yake.
9. Wana uwezo mkubwa wa kunusa ndani ya maji hasa damu ya kiumbe aliyeumizwa kwenye umbali wa kilomita. Kupitia ngozi wanatambua pia mwendo ndani ya maji na wanaelekea penye chanzo cha mwendo.
10. Jumla ya ajali ambako mwanadamu anang'atwa na papa ni takriban 100 kwa mwaka kote duniani na kuna papa milioni 200 wanaouawa kila mwaka na wanadamu.