Maria Nyedetse
JF-Expert Member
- Apr 24, 2021
- 727
- 1,631
Umeambiwa ni Orca ambao wanaua hadi nyangumi....Pomboo (dolphin)
Umeambiwa ni Orca ambao wanaua hadi nyangumi....Pomboo (dolphin)
Nguru ni kingfish sio wakubwa kama papa ila wana minofuHao papa wakubwa kwa bongo ni nadra sana kwa Africa sana Sana niliwahi kusikia mkubwa kuvuliwa ni yule miaka kadhaa huko Mombasa.
Papa watamu mno ukute wale wenyewe wadigo wawapike na mihogo duh ni hatari.
Sema kwa wajuzi Kuna ng'onda ,papa sijui na nguru hawa Wana tofauti gani ?Mi naonaga wanavyaoanikwa na kukausha katika mfumo mmoja.
Watamu sanaNguru ni kingfish sio wakubwa kama papa ila wana minofu
Hivi mnamuongelea papa au nyangumi?Mkuu hili la ulinganifu wa uzito wa papa na dala dala umetupiga bhana.
Dala dala ni 3.5 ama 4 ton wakati papa ana uzito wa 20 tons, ungelinganisha na tipa la mchanga lililojazwa kifusi likielekea kumwaga kwenye barabara za mchina!
Hapo kidoooogo inaweza kuingia akilini na ku make sense!
Maelezo ya kwenye mada ni papa.Hivi mnamuongelea papa au nyangumi?
Hapa umechanganya madesa wana uzito kati ya kilo 600 hadi 2000 hii ni tani 2 sio 20..2. Ana uzito wa wastani tani 20.6; kiuhalisia Papa analingana na Daladala!
Papa wapo wa aina tofauti tofauti, yupo anayefikia uzito huo, anaitwa Whale Shark , ndio jamii ya papa wanaokula mimea bahari(plankton) na kufanya filter feeding kama Nyangumi.Hapa umechanganya madesa wana uzito kati ya kilo 600 hadi 2000 hii ni tani 2 sio 20..
Nimekumbuka movie ya USS Indianapolis.
😂😂😂Ukimuangalia papa anavyoishi amekaa kizamani sana,
Ndo nini? Tunaomba picha ya mbususuEeh nikajua papa papuchi. Aka mbususu![]()
Sina mkuu. We unayo utuwekee?Ndo nini? Tunaomba picha ya mbususu
Papa ndio alingane uzito na fuso lilojaa mchanga? Huyo ni nyangumi.Maelezo ya kwenye mada ni papa.