Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

Niwajuavyo WAJITA kwa sababu nimeishi nao muda mrefu...

SIFA CHANYA
1.Wajita si kabila kubwa sana, ila wengi wao ni wasomi kuliko Wakurya na makabila mengi ya Kanda ya Ziwa (ukiondoa Wahaya na Wakerewe). Hasa levels za certificates,diploma, bachelor & masters' degree. Kule kwenye PhD ni wachache mno (mfano Prof.Biswalo,yule mtaalamu wa Psychology).

Walio wengi wamejazana kwenye Ualimu,Afya,majeshi, na kazi nyingine za elimu ya kawaida.

2.Wanapenda maendeleo na hushindana sana kutafuta maendeleo.Na akiyapatia maisha hanaga kujificha,lazima mtajua tu kuwa Bwire mambo yake sasa ni safi ile mbaya.

3.Ni moja ya makabila nadhifu kandokando ya Ziwa Victoria. Wanapenda kuvaa sana.Kuna mdau huko juu kasema si ajabu kumuona Mjita anaenda shambani kulima ila amechomekea,miwani juu,na pen kwenye mfuko wa shati.Just imagine!

4.Ni wakarimu sana,na wana huruma kwa matatizo ya wengine.Ukiwa na tatizo anakusaidia.Ukiona hajakusaidia ujue hana.

5.Moja ya makabila around the interlucustrine yaliyo vizuri kwenye mapenzi na mambo ya ndoa.

6.Wanaomboleza kwenye misiba yao haooo!Kama unataka kuanzisha kikundi cha kukodisha cha waliaji kwenye misiba,watafute hawa.Usipompata Mjita basi option ya 2 mtafute Mjaluo.

Yaani Mjita anatoka kwake kwenda msibani macho makavu na story za kufa mtu njiani,ila akifika within 1 kilometer to the msiba area kilio atakachoangusha hapo ni balaa! "Mayaweee,Manyama weswe kagendelee..Uuwiii, ". Wanaliaga huku wanabwabwaja maneno kama yote yaani.

7.Wanapenda misosi ya asili sana.Hata kama umepika pilau lako siku ya Christmas au Eid,lazima na ugali wa muhogo umpikie. Wali sijui na pilau bila 'ubhusima' (ugali)? Hiyo siku mbona imekaa vibaya!

8.Kiimani,70% ya Wajita ni Wasabato.Yaani ni vigumu kuutenganisha Usabato na Ujita, na nilipokuwa mdogo kila Msabato niliyemuona nilijua kwa vyovyote atakuwa Mjita pia (kumbe wapo na wa madhehebu mengine,japo ni wachache).Hii ni ishara kuwa hawa watu waliupokea vyema Ukristo na kupitia huo wakapata elimu dunia.

N.B:Utaamua kama hizo namba 6 & 7 ni sifa njema ama la.

SIFA ZAO HASI
1.Ni waongo waongo,wambeya, wachonganishi, na Wanapenda kufatilia maisha ya wengine:unakula nini,unavaa nini,n.k. Hawa wanajulikana kama 'Wazaramo wa Kanda ya Ziwa'. Lake Zone yote wanawagwaya wajita kwa mdomo.

Pamoja na kusoma kwao,kile kiingereza cha " Mind your own business " hawakukielewa hadi leo. And for your information, CYPRIAN MUSIBA is a Jita man.Anatoka Iramba,wilayani Bunda.

2.Pamoja na ukarimu walio nao,akikusaidia lazima akutangaze. Na pia akijua maisha unayoishi utakoma.Nadhani wanafaa sana kufanya kazi kwenye Media House.

3.Wanaoishi pembeni ya Ziwa Victoria huwa hawana mabafu,wao huenda kuoga ziwani tena uchi wakionekana na kila mtu.Margin unayotenga sehemu wanayoogea wanaume na wanawake ni ndogo sana.

Ukiwa mgeni Ujitani unaweza kudhani uko Miami beach au Bahamas 'mambele' huko.Yaani unamwona Irene aliyemtongoza akakukataa anaoga na kichupi in the open space tena mchana kweupe, na baadaye jirani kidogo unamwona,Nyamisi,dada yako wa tumbo moja anaoga chuchu zimesimama kama msumari na kisha anavua chupi yake anainama na kuinuka akiifua, huku akijua wewe kaka yake unamuona mubashara. Aiseee,maisha gani haya?...sisi makabila mengine tulikuwa tunafedheheka kwakweli.

4.Jamaa hawa ni wabishi sana.Tena bora ukutane na Msabato Mpare kuliko Msabato Mjita,mtabishana mambo ya maandiko mpaka uombe poo!Na ni wabishi hata kwa mambo mengine.

5.Wamekubuhu kwa ushirikina na kuuana kwa sumu za mamba. Ikiwa utaenda kufanya kazi au biashara maeneo yao,na ukakwazana na watu wa huko,hunabudi kuchukua tahadhali ya hali ya juu:usikariri kula kwenye hoteli moja au kunywa kwenye baa ile ile,limit the number of friends. Ukizembea 'wafa, wagenda'.

6.Mengine wataendeleza wengine,maana namba 3 imenivuruga kichwa.

Usisahau: Msemaji wa timu ya football ya Ruvu Shooting, MASAU BWIRE,naye ni Mjita.
Noma sana!
 
Sio kweli Mara Kuna makabila matatu tu.WAKURYA,WAJITA na WALUO.
wazanaki,waikizu,waikoma,wanata hizo Ni Koo ndogo za kikurya zilizomezwa na Ila majina yao ni mamoja.lakini kwa Kenya Kuna wakisii Hawa Ni wakurya waliomezwa.
Nadhani koo za wakurya ni wanyabhasi, waanchari na walenchoka kamasikosei. Ila hawa wazanaki et tal ni makabila yenye nusu asili ya kikurya (sub kuryanic tribes) but they are tribes.!
 
Ukitaka kuishi kwa raha kwenye ndoa yako kaa mbali na hili kabila LA wakurya waache waoane wenyewe kwa wenyewe watawezana. Hili kabila LA wakurya wanapenda sana na kuabudu matambiko na ushirikina. Mambo ya ukatili na kulogana kwao ni kawaida hawana hofu ya Mungu ukitamka habari za wokovu kwao ni kama unatangaza vita. Ni wapenda Shari hawajui neno samahani kila kitu kwao ni amri tu. Mila zao ni kama zakuita mashetani .mfano MTU wao akifa Leo wakishazika kesho asubuhi sana wanadamkia makaburini kwenda kupiga ukunga kumuamsha marehemu. Hivi nani kawadanganya kwamba marehemu anaamshwa? Huko sindio kuamsha roho za mauti watu waendelee kufa? Na ndio maana unakuta ukoo mmoja kila siku misiba haiishi kwasababu ya kutembea na roho za mauti .maandiko yanasema msitake kujua habari za waliolala. Hili kabila linahitaji wokovu kwa hali na Mali.
Umechemka, hakuna ulozi ukuryani
 
Back
Top Bottom