Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

Navyowafahamu wajita hawana kuteta. Labda hao si wajita original. Wajita wanakupa ukweli. Hawapendi kupindisha. Si wajita tu makabila mengi ya Mara. Ila wanao penda kuteta ni Waruli na wakwaya. Hawa wanakitabia hicho.
Na Waruli wananguvu za kichawi. Wajita na wakurya wako strong. Wajita wamegawanyika asili yao ikiwa ni kutoka Ethiopia. Walipo fika Musoma wakachanganyikana na makabila ya hapo, kama wakwaya hivyo wakiongea unatakiwa kuwa makini sana unaweza dhani ni kitu kimoja.
Wajita hawako strong.
 
Wakurya na Wajita ni makabila mawili yenye hulka tofauti kabisa.

Makabila haya wala hata hayaingiliani kimakazi au kikazi.

Kwa kifupi Wakurya na Wajita hawana mahusiano yanayopelekea mwingiliano baina yao.

Kitu pekee cha kufananisha labda ni kuwa makabila haya yote yanapatikana mkoa wa Mara.

KWA HIYO KUJARIBU KULINGANISHA MAKABILA HAYA SIO SAHIHI.
Kabsa...wajita na wakurya ni vitu makabila mawili tofaut, kuanzia location, tabia, mila na desturi. Wakurya wanapatikana kwa wingi tarime wakat wajita wanapatikana kwa wingi musoma vijijini(majita) lakn pia kwny wilaya nyngne za mara haya makabila utayakuta. Kitabia wakurya ni wababe Sana Ile Hali wajita ni waongeajiu,wabishi na wapenda sifa. Hizo ni baadhi ya tofaut zao. Ila wakurya na wajita hawafanani kabsa.
 
Ni
wajita na wakurya wanatoka seheme moja lakini kuna utifauti mkubwa ya kitabia kati ya hao wawili

wakulia ni watu wa mabavu wana loss temper kirahisi, hasira zao ni mapigano, lakini wajita sio watu wa mabavu ingawa nao wana loss temper kirahisi lakini atumii nguvu labda atakuwekea kisasi

wajita ni wavivu wanafanya kazi mpaka awe na mood mjita analima kasehem kadogo alafu anajisifia mbaya 'asee leo nimelima bwana'.. lakin wakurya wanapiga kazi wanajituma sana na wanataka kuona matoke ya kazi

wajita wana nature ya upole upole, sio wakorofi mpaka uwatibue na ukiwatibua ata deal na kiakili so kinguvu ingawa anaweza akatua nguvu pia, wakurya kwenye upole hawapo kabisaaa.. wakitaka kitu lazima nguvu itumie yani 'nguvu fuso akili kisoda'

wajita wanapenda kuvaa asee, yani mjita anaweza kwenda kulima anapaka mafuta mkanda nje na pen kwenye mfuko wa shati, wakurya hawana hizo tabiaa za kuvaa na awawezi kupanga mavazi

hii najua jf naweza msihamini
wajita kwenye upande wa mapenzi wapo romantic sana wanajua kuplease na wana penda sex, wapo emotional sana awajamaa.. tofauti na wakurya mapenzi wanayachanganya na vita... yani vita ni vita muraaah

kwenye chakula wote wanakula chakula cha kufanana

mwisho kabisa, hayo makabila mawili watu wanayafananisha sana kwasaababu wote wanatoka sehemu moja lakini deep inside.. hawafanani hata kidogoo hususani kwenye tabia
Nmejaribu kuelewa zaid unachokimaanisha nimegundua una mapenz na wajita
 
Ukitaka kuishi kwa raha kwenye ndoa yako kaa mbali na hili kabila LA wakurya waache waoane wenyewe kwa wenyewe watawezana. Hili kabila LA wakurya wanapenda sana na kuabudu matambiko na ushirikina. Mambo ya ukatili na kulogana kwao ni kawaida hawana hofu ya Mungu ukitamka habari za wokovu kwao ni kama unatangaza vita. Ni wapenda Shari hawajui neno samahani kila kitu kwao ni amri tu. Mila zao ni kama zakuita mashetani .mfano MTU wao akifa Leo wakishazika kesho asubuhi sana wanadamkia makaburini kwenda kupiga ukunga kumuamsha marehemu. Hivi nani kawadanganya kwamba marehemu anaamshwa? Huko sindio kuamsha roho za mauti watu waendelee kufa? Na ndio maana unakuta ukoo mmoja kila siku misiba haiishi kwasababu ya kutembea na roho za mauti .maandiko yanasema msitake kujua habari za waliolala. Hili kabila linahitaji wokovu kwa hali na Mali.
We mwenyew unaonekana mnafiki na mchawi unaejificha kwenye kivur cha wokov
 
Unamaana hata wanawake wa kijita hawana antenna?
Taarifa wanapataje bila King'amuzi?
Kumtoa mwanamke kisimbusi ni ukatili wa hali ya juu sana.
Mimi wa hivyo hata awe na tako sihangaiki nae.
Utafiti una nonesha kua mikoa ifuatayo inaongoza kwa idadi kubwa ya wanawake kukeketwa.
1. Manyara 58%
2. Dodoma 47%
3. Arusha 41%
4. Mara 32%
5. Singida 31%
Source: unfpa.org
Kifupi wakurya hawapo kwenye 3 bora ya ukeketaji ila jumba bovu limewaangukia wao, kila ukitolewa mfano wa ukeketaji wao wanakua wa kwanza kutajwa.
 
Utafiti una nonesha kua mikoa ifuatayo inaongoza kwa idadi kubwa ya wanawake kukeketwa.
1. Manyara 58%
2. Dodoma 47%
3. Arusha 41%
4. Mara 32%
5. Singida 31%
Source: unfpa.org
Kifupi wakurya hawapo kwenye 3 bora ya ukeketaji ila jumba bovu limewaangukia wao, kila ukitolewa mfano wa ukeketaji wao wanakua wa kwanza kutajwa.
Kabila maaruf ndo tatizo wengne wanaongea kwa kuskiliza2 maneno ya kweny vijiwe vya kahawa
 
Unamaana hata wanawake wa kijita hawana antenna?
Taarifa wanapataje bila King'amuzi?
Kumtoa mwanamke kisimbusi ni ukatili wa hali ya juu sana.
Mimi wa hivyo hata awe na tako sihangaiki nae.
Wajita hawakeketi wao kuwafundisha mabinti zao kama pwani wanavyofanya unyagoni
 
Back
Top Bottom