mkuu kule nakuona kama kituo cha polisi.siamini Raia wala Polisi wa kule! ni nouma.Ha ha ha ha haaa! Umenikumbusha mbali sana! Kuna Jamaa Mmoja mwembamba mfupi, kakomaaa sana sura, halafu anavaaa suruali flani Hivi mbwanga Za kushonesha Zina marinda ya kutosha, sometimes anapiga Na tshirt flan Hivi Mpauko yenye Nyuzi legevu! Huyu Jamaa alinifanya nipachukie sana CoCo hasa mchana!
Nina Kama Miaka mi'3 Hivi sijafika coco mchana! Hua naingia pale Anzia Saa tano Usiku!
Saa5 usiku? Mweeeeeeee, basi wewe ni bundi mtu tu sasa maana hakuna namna.Ha ha ha ha haaa! Umenikumbusha mbali sana! Kuna Jamaa Mmoja mwembamba mfupi, kakomaaa sana sura, halafu anavaaa suruali flani Hivi mbwanga Za kushonesha Zina marinda ya kutosha, sometimes anapiga Na tshirt flan Hivi Mpauko yenye Nyuzi legevu! Huyu Jamaa alinifanya nipachukie sana CoCo hasa mchana!
Nina Kama Miaka mi'3 Hivi sijafika coco mchana! Hua naingia pale Anzia Saa tano Usiku!
Ha ha ha ha haaa! Usiku pananoga sana pale! Nakaa mpaka Saa saba Au nane then narudi home Au napitia triple 7 Kuona mambo yanaendaje!Saa5 usiku? Mweeeeeeee, basi wewe ni bundi mtu tu sasa maana hakuna namna.
Mkuu hujitaki nini? Kama jamaa wana Silaha utaweza kusepa?😀ningerudisha gari nyuma kidogo na kumkanyaga askari vidole kisha nikaondoka...
Duhhhhh, basi wewe ni sheeedah!!!!Ha ha ha ha haaa! Usiku pananoga sana pale! Nakaa mpaka Saa saba Au nane then narudi home Au napitia triple 7 Kuona mambo yanaendaje!